Ameniomba hela ya chai; nimemrushia buku na 200 ya kutolea amekasirika!

Salaam!

Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri.

Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa kuzingatia bei halisi ya maandazi huku kijijini ambayo ni tshs 100, nikamrushia buku na mia mbili ya kutolea. Nilifanya hivyo nikiamini kuwa maandazi saba na kikombe cha chai atapata.

Ajabu ni kuwa alipopokea aliniuliza kama mara tatu hivi kuwa nimemtumia au la. Nilipomwambia kuwa ndiyo nimemtumia 1,200 ili apate buku ya chai, hajajibu chochote na hapokei simu mpaka muda huu. Nikafikiri labda amepatwa na ugonjwa kumbe taarifa za kiintelejinsia zinasema ni mzima wa afya tu.

Kuna nini hapa?!!!
Utakufa na upwilu wako 😀😀😀
 
Niliwahi kumtumia mtu dola 5 aisee zikarudishwa. Niliumia sana kwa sababu nilikuwa nimejitutumua sana. Halafu pisi ikanichana kuwa ni afadhali tu nikupe bure kuliko unipe dola 5 kama zawadi...na kweli niliishia kupewa bure japo baadaye ilikuja kunicost sana baada ya kunogewa. Wanawake wana mbinu nyingi sana!
 
Ilkua pisi ya kizungu au Hawa kina mwajuma ndala ndefu[emoji28]
 
Melissa. Baba mweusi mama Muitalia...umbo la Kibantu (dizaini hii)...Ujana una mambo aisee 😁

20230401.jpg
 
Salaam!

Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri.

Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa kuzingatia bei halisi ya maandazi huku kijijini ambayo ni tshs 100, nikamrushia buku na mia mbili ya kutolea. Nilifanya hivyo nikiamini kuwa maandazi saba na kikombe cha chai atapata.

Ajabu ni kuwa alipopokea aliniuliza kama mara tatu hivi kuwa nimemtumia au la. Nilipomwambia kuwa ndiyo nimemtumia 1,200 ili apate buku ya chai, hajajibu chochote na hapokei simu mpaka muda huu. Nikafikiri labda amepatwa na ugonjwa kumbe taarifa za kiintelejinsia zinasema ni mzima wa afya tu.

Kuna nini hapa?!!!
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom