Ameniomba hela ya chai; nimemrushia buku na 200 ya kutolea amekasirika!

Ameniomba hela ya chai; nimemrushia buku na 200 ya kutolea amekasirika!

Nimejifunza kitu hapo, mtoto wa watu akija jichanganya anataka hela ya chai nitatuma 600 chai ya 500 100 ya kuitolea, huku chai ni 100 andazI 200, so atapata chai na andazi 2
 
Ndo TAMISEMI wafanye juu chini,mwezi huu wahàkikishe waalimu wa English Language,wanapewa kipaumbele pamoja na Bed Ece ili msingi mzuri wa lugha uandaliwe.Kupuuza hilo,matokeo yake ndiyo haya.
Hiyo sentensi ya kiingereza imekuharibia heshima kidogo uliyokuwa nayo.
 
Balqior hili suala kwa upande wako unalizungumziaje Mpaji Mungu Sema chochote basi
Ingekuwa mimi hata hiyo tshs 1200 asingepata, ningemwambia iyo hela aje kuichukua ghetto..

Wanaume tunapenda kuwapa hela wanawake tulio nao kwenye mahusiano, ila naona kama sahivi, baadhi ya wanaume wanaanza kujua tofauti kati ya kuhudumia na kutapeliwa Leejay49
 
Ingekuwa mimi hata hiyo tshs 1200 asingepata, ningemwambia iyo hela aje kuichukua ghetto..

Wanaume tunapenda kuwapa hela wanawake tulio nao kwenye mahusiano, ila naona kama sahivi, baadhi ya wanaume wanaanza kujua tofauti kati ya kuhudumia na kutapeliwa Leejay49
Kwani huyo si ni mpenz wake jamani au😃😃
 
mbona naona wengi wenu mnamsifia😂😂😂
Alieleta mada hakutuma buku kama anavotanabaisha bas tu Kaamua changamoto

Wanaomsifia ni kuchangamsha genge tu maaana kwa mademu zao hawatumi buku 😁😁

Usichukulie serious sana vijana wa humu aisee Kwa ground tunatoa pesa vzr
 
N
Salaam!

Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri.

Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa kuzingatia bei halisi ya maandazi huku kijijini ambayo ni tshs 100, nikamrushia buku na mia mbili ya kutolea. Nilifanya hivyo nikiamini kuwa maandazi saba na kikombe cha chai atapata.

Ajabu ni kuwa alipopokea aliniuliza kama mara tatu hivi kuwa nimemtumia au la. Nilipomwambia kuwa ndiyo nimemtumia 1,200 ili apate buku ya chai, hajajibu chochote na hapokei simu mpaka muda huu. Nikafikiri labda amepatwa na ugonjwa kumbe taarifa za kiintelejinsia zinasema ni mzima wa afya tu.

Kuna nini ha tafadhali nitumie namba yake mkuu
 
Back
Top Bottom