- Thread starter
- #41
Hapana mkuu, mimi ni mmatumbi pyua kabisa!WEWE NI MPAREE EEE..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, mimi ni mmatumbi pyua kabisa!WEWE NI MPAREE EEE..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo sentensi ya kiingereza imekuharibia heshima kidogo uliyokuwa nayo.
🤣🤣🤣🤣🤣,Hahaha mzee 1200 mbona nyingi ilibidi utume jero tu.. ya kutolea atasongesha
Ahsante mkuu!Upewe Maua yako mkuu
Hahahahaaaa!Kwenye kikao cha wanaume utakuwa msemaji mkuu.
Kabisa mkuu, nimejitahidi sana kwa hali ya sasaMambo ni magumu kutoka 6800 mpaka 1200. Ni vizuri lakini umejikuna ulipofikia
Hapana mkuu, naikaribisha sana hiyoWewe nawe ni kataa ndoa
Ushampoteza sasa hiyo Kama anadaiwa songesha si wamepita nayo 😂Kabisa mkuu, nimejitahidi sana kwa hali ya sasa
Sikuwa na jinsi, niliendana na uhalisia.ila we jamaa 😂😂😂😂, shauri yako....
Atakuwa katiri sanaShukrani ya punda ni mateke mzee😂 na usishangae akikunyima utamu😂
Salaam!
Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri.
Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa kuzingatia bei halisi ya maandazi huku kijijini ambayo ni tshs 100, nikamrushia buku na mia mbili ya kutolea. Nilifanya hivyo nikiamini kuwa maandazi saba na kikombe cha chai atapata.
Ajabu ni kuwa alipopokea aliniuliza kama mara tatu hivi kuwa nimemtumia au la. Nilipomwambia kuwa ndiyo nimemtumia 1,200 ili apate buku ya chai, hajajibu chochote na hapokei simu mpaka muda huu. Nikafikiri labda amepatwa na ugonjwa kumbe taarifa za kiintelejinsia zinasema ni mzima wa afya tu.
Kuna nini hapa?!!!
, kwa kuzingatia bei halisi ya maandazi huku kijijini ambayo ni tshs 100, nikamrushia buku na mia mbili ya kutolea. Nilifanya hivyo nikiamini kuwa maandazi saba na kikombe cha chai atapata.
?!!!
Jamaa simpatii picha alivokua serious kutuma buku[emoji1]Wewe ni Mkuu wa Vikosi vya watu Bahili zaidi Duniani [emoji23][emoji16]