Amenisumbua sana kuwa ananipenda nikamkatalia, alipozidi kunisumbua nikamwomba laki 1 niende hospitali, saivi hapatikani hewani, nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi

Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?

Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu

Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari..

Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
 
Singo mama, thamani yako wewe ni vocha ya buku,

hela ya hospital ya mwanao atoe baba mzazi.

Mie nataka kipochi kisha nipite hiviii 👋
 
We kweli kilaza
Alikuwa anamwomba hela ili amfukuze jamaa
Kwani wewe D2 huna?
 
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi

Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?

Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu

Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari..

Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
Kwani lengo la kuomba hela si ilikuwa aache usumbufu na kweli kaacha sasa shida nini tena😁 au unataka wewe ndio umpe hio hela
 
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi

Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?

Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu

Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari..

Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
Kero zote hizi kwa mishangazi hakuna.
 
Akili kisoda hizi, ufanyeje tena wakati lengo la kumfukuza limetimia?
 
Back
Top Bottom