Amenisumbua sana kuwa ananipenda nikamkatalia, alipozidi kunisumbua nikamwomba laki 1 niende hospitali, saivi hapatikani hewani, nifanyaje?

Amenisumbua sana kuwa ananipenda nikamkatalia, alipozidi kunisumbua nikamwomba laki 1 niende hospitali, saivi hapatikani hewani, nifanyaje?

Kwani lengo la kuomba hela si ilikuwa aache usumbufu na kweli kaacha sasa shida nini tena😁 au unataka wewe ndio umpe hio hela
Amewaamsha wanawake
Jinsi ya kuachana na mwanaume msumbufu
 
Kero zote hizi kwa mishangazi hakuna.
Unajiskia kuamka asubuhi na kukutana na sura ya shabgazi kama ya mamako mzazi?
Na kudinda unadinda kabisaa?
 
Kwamba?

"Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu."

MK254, Moisemusajiografii, Mzee Kigogo na usayunini kule, maoni yenu tafadhali.
Haleluyah,
Kwa mara ya kwanza binaadam ameongea ukweli
 
Back
Top Bottom