Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Singo mama, thamani yako wewe ni vocha ya buku,Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi
Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?
Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu
Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari..
Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
Kwa ufupi ni kwamba hamtaki mwanaume na njia ya kumfukuza ni ya kumwomba helaKwahiyo kwa ufupi unavua chupi kwa laki moja
We kweli kilazaSingo mama, thamani yako wewe ni vocha ya buku,
hela ya hospital ya mwanao atoe baba mzazi.
Mie nataka kipochi kisha nipite hiviii 👋
We bima unayo?Hana bima?
Na huyo jamaa ndio mimi nilikua namjibu huyo muomba hela.We kweli kilaza
Alikuwa anamwomba hela ili amfukuze jamaa
Kwani wewe D2 huna?
Bado hujasemaNa huyo jamaa ndio mimi nilikua namjibu.
Hivyo kombe la ukilaza likurudie wewe
Tumekwama kwa YESU.Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu
Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
SauwaTumekwama kwa YESU.
International oneWe bima unayo?
Kwani lengo la kuomba hela si ilikuwa aache usumbufu na kweli kaacha sasa shida nini tena😁 au unataka wewe ndio umpe hio helaSasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi
Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?
Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu
Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari..
Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
Kwa hiyo angetoa angelimvua?Kwa ufupi ni kwamba hamtaki mwanaume na njia ya kumfukuza ni ya kumwomba hela
Kero zote hizi kwa mishangazi hakuna.Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi
Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?
Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu
Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari..
Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
Majibu ya swali hili nayangojea.Kwani lengo la kuomba hela si ilikuwa aache usumbufu na kweli kaacha sasa shida nini tena😁 au unataka wewe ndio umpe hio hela
Angemtumia hata hamsin angekipeleka mwenyeweKwa ufupi ni kwamba hamtaki mwanaume na njia ya kumfukuza ni ya kumwomba hela
Sawa mkatie na mwenzio basiInternational one