Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
Amewaamsha wanawakeKwani lengo la kuomba hela si ilikuwa aache usumbufu na kweli kaacha sasa shida nini tena😁 au unataka wewe ndio umpe hio hela
Unaweza ukatoa hela na bado usipewe hata kuchaKwa hiyo angetoa angelimvua?
Unajiskia kuamka asubuhi na kukutana na sura ya shabgazi kama ya mamako mzazi?Kero zote hizi kwa mishangazi hakuna.
Akacheze anakochezagaSawa mkatie na mwenzio basi
Amemtambulisha Mchumba wake akiwa ameweka Bleach Kichwani, wakwe wamemkataa, afanyaje?
Samahani Nimekuwa buzy naona kama napitwa Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan? Mbona kila mahali wanakataliwa? Nini mbaya nyiee? Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo acheni ushamba jamaawww.jamiiforums.com
KeshajibiwaMajibu ya swali hili nayangojea.
Chama cha wanawake Dar kimetoa kauli mbiuAngemtumia hata hamsin angekipeleka mwenyewe
Haleluyah,Kwamba?
"Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu."
MK254, Moisemusajiografii, Mzee Kigogo na usayunini kule, maoni yenu tafadhali.
Amewaamsha wadada wenzake jinsi ya kufukuza wanaume wakolofiAkili kisoda hizi, ufanyeje tena wakati lengo la kumfukuza limetimia?
Kwako au?Akacheze anakochezaga
Aiseeh