Mungu atupe mwisho mwema aiseeeSana na hakuna anayejua.
Siyo "KIFO NI KIFO"!?Daaah 🥺🥺🥺
Kifo NI FUMBO
Acha tu usiombe ndo umekwazana na mwenza kaondoka kazini anarudi maiti utatamani upate mda wa kumuomba msamahaHivi vifo vinauma sana. Ukurudi salama nyumbani mshukuru Mungu
Marehemu kafa hadharani ila taarifa zake zinafanywa siri, sisi ni watu mapunguani. Vya kuficha tunavidhihirisha na vya kudhihirisha tunavificha, unaweza kuta huyo anayeficha kitambulisho kavaa nguo manyonyo na mapaja yote njeMitanzania akili Haina Sasa unauliza wanaomfahamu halafu unaficha vitu vya kwenye kitambulisho Cha marehemu Ili iweje wakati anatakiwa ndugu zake wajulishwe unataka kutupotezea mda au msaada
Aisee ni ujinga wa Hali ya juu hivi unafichaje utambulisho wa marehemu wakati unataka ndugu zake wajulishweMarehemu kafa hadharani ila taarifa zake zinafanywa siri, sisi ni watu mapunguani. Vya kuficha tumadhihirisha na vya kudhihirisha tunaficha, unaweza kuta huyo anayeficha kitambulisho kavaa nguo manyonyo na mapaja yote nje
Kabisa mkuu!!
Hivi jeshi la akiba ndio lipi tena?Kijana mdogo masikini na kitambulisho kapewa mwaka huu huu means ndio ametoka kuhitimu!
Pumzika kwa amani, imeniuma!