Sas
Pia huyu alipata mafunzo ya jeshi Kwa mujibu wa kitambulisho. Swali: Je jeshi haliwezi kusaidia kumtambua na kumpeleka Kwa ndugu zake?
Kama hawatapatikana ndugu zake wakati huyu alita jeshini maana yake atakuwa sio mtanzania na aliingia jeshini Kupata mafunzo kiujanjaujanja.
Sasa umeficha taarifa za Nini? Hicho ni kitambulisho chake cha halali na amekufa. Sasa tunatakiwa kumtambua.Amepata ajali maeneo ya mbezi kibanda Cha mkaa jana asubuhi tarehe 15/4 2025.
Mwili uko hospitali ya taifa Muhimbili -Mloganzila, kwa anaweza kumfahamu au ndugu zake.View attachment 3306070