Amepata ajali, kwa anayeweza kumfahamu au ndugu zake

Hivi vifo vinauma sana. Ukurudi salama nyumbani mshukuru Mungu
Ndani ya wiki izi mbili nimenusurika ajari tano.
Leo asubuh pia nimenusurika ajari, Jana pia , juzi pia ndio ilikua mbaya Sana.
Nawaza TATIZO linaweza kua Nini sijapata majibu kwa kweli juu ya hili swala..

KIJANA
Going too soon 😞 apumzike kwa amani
 
Mungu ampe pumziko jema,,, ! Mitanzania bwana, kwa hio hicho kitambulisho mmeziba ili iweje ,? Hata urefu pia ni siri ?
Dah!

Sasa huyo mungu si angemnusuru tu na hiyo ajali kuliko kumpa pumziko jema kwa namna ya tukio lilivyotokea!

Hapo ndo ujue habari za mungu ni fiksi tu na vitabu vya dini si neno la mungu bali ni riwaya za watu wa kale!
 
Ndani ya wiki izi mbili nimenusurika ajari tano.
Leo asubuh pia nimenusurika ajari, Jana pia , juzi pia ndio ilikua mbaya Sana.
Nawaza TATIZO linaweza kua Nini sijapata majibu kwa kweli juu ya hili swala..

KIJANA
Going too soon 😞 apumzike kwa amani
Mungu akulinde kwenye hatua zako na njia upitazo, malaika walinzi waambatane nawe,

Akuepushie na wabaya, wenye Hila chuki na wewe,

Afanyike Mwamba imara maishani mwako. Amen
 
Pole sana kaka .
Uwapo tayari nijuze nikuombee kaka ili uwe salama .

Note😛uuza ulevi wangu na utoto wangu ila jikite katika ujuvi wa kuwa Mungu upitia kwa yeyote ampendaye ,ahsante
 
Dah!

Sasa huyo mungu si angemnusuru tu na hiyo ajali kuliko kumpa pumziko jema kwa namna ya tukio lilivyotokea!

Hapo ndo ujue habari za mungu ni fiksi tu na vitabu vya dini si neno la mungu bali ni riwaya za watu wa kale!
Siku utakapoweza kutenganisha Kati ya Dini na Mungu ndio utakuwa mwanzo wako wa kutoka gizani
 
Ndani ya wiki izi mbili nimenusurika ajari tano.
Leo asubuh pia nimenusurika ajari, Jana pia , juzi pia ndio ilikua mbaya Sana.
Nawaza TATIZO linaweza kua Nini sijapata majibu kwa kweli juu ya hili swala..

KIJANA
Going too soon 😞 apumzike kwa amani
Mmhh! Mkuu
Pole sana.
Inatisha.
 
Mungu akulinde kwenye hatua zako na njia upitazo, malaika walinzi waambatane nawe,

Akuepushie na wabaya, wenye Hila chuki na wewe,

Afanyike Mwamba imara maishani mwako. Amen
Kuna idea moja kubwa tupo kwenye kutengeneza kutoka kwenye maneno kua kwenye vitendo.

Duu yaan week mbili hizi juzi, Jana na leo asubuh nimenusurika ajar mpaka nimeingiwa na woga nahisi kunakitu hakipo sawa.

Asante kwa Dua na maombi yako ndugu yangu🙏🙏
 
Back
Top Bottom