Amepata ajali, kwa anayeweza kumfahamu au ndugu zake

Mitanzania akili Haina Sasa unauliza wanaomfahamu halafu unaficha vitu vya kwenye kitambulisho Cha marehemu Ili iweje wakati anatakiwa ndugu zake wajulishwe unataka kutupotezea mda au msaada
Marehemu kafa hadharani ila taarifa zake zinafanywa siri, sisi ni watu mapunguani. Vya kuficha tunavidhihirisha na vya kudhihirisha tunavificha, unaweza kuta huyo anayeficha kitambulisho kavaa nguo manyonyo na mapaja yote nje
 
Marehemu kafa hadharani ila taarifa zake zinafanywa siri, sisi ni watu mapunguani. Vya kuficha tumadhihirisha na vya kudhihirisha tunaficha, unaweza kuta huyo anayeficha kitambulisho kavaa nguo manyonyo na mapaja yote nje
Aisee ni ujinga wa Hali ya juu hivi unafichaje utambulisho wa marehemu wakati unataka ndugu zake wajulishwe
 
Kabisa mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…