Amepata ajali, kwa anayeweza kumfahamu au ndugu zake

Dah!

Sasa huyo mungu si angemnusuru tu na hiyo ajali kuliko kumpa pumziko jema kwa namna ya tukio lilivyotokea!

Hapo ndo ujue habari za mungu ni fiksi tu na vitabu vya dini si neno la mungu bali ni riwaya za watu wa kale!
With all due respect, Wacha tuamini yupo tuende tumkose, kuliko kuamini hayupo tuende tumkose,, khs pumziko ni kwamba tunaamini Mungu kaichukua roho yake, basi walau akaipumzishe pema (peponi) khs Mungu kutomuua ili akampumzishe huenda hio ajali ni ya kusababishiwa , bahati mbaya ama whatever!
 
Okay, tuseme kweli mungu kaichukua โ€˜rohoโ€™ ya huyo dogo.

Kwa nini aichukue kikatili hivyo? Huyo Mungu hana uwezo wa kuichukua hiyo โ€˜rohoโ€™ bila kusababisha maumivu?
 
Upuka kubishana na Hawa watu wa tatu kuhusu uwepo wa MUNGU kiranga, infoprinuer, nyani ngabu Hawa jamaa watakubishia na watakushangaza
 
Amina kiongozi, umakini tuu na ulinzi wa Mungu vinatosha
 
Kuna roho la mauti linakutafuta.. Makinika sana.. Fanya sana ibada
 
Kibanda Cha Mkaa pamoja na pamefungwa taa za kuruhusu kati ya gari na waenda kwa miguu lakini bado wapo madereva hawaheshimu usalama wa raia.

Ni mtihani mkubwa na vile traffic hawakai pale basi utakuta magari Bajaj na bodaboda wanafanya watakavyo,Mungu amrehemu marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ