Sasa umeficha taarifa za Nini? Hicho ni kitambulisho chake cha halali na amekufa. Sasa tunatakiwa kumtambua.Amepata ajali maeneo ya mbezi kibanda Cha mkaa jana asubuhi tarehe 15/4 2025.
Mwili uko hospitali ya taifa Muhimbili -Mloganzila, kwa anaweza kumfahamu au ndugu zake.View attachment 3306070
Excellent advise πππndugu zake huyo ni jeshi la akiba ,pelekeni kitambulisho hicho. waingie kwenye database yao
sali sana ... .. mambo ni mengi ..humu duniani.Ikiwa Y Mungu basi yatimizwe lkn vinginevyo yakuepuke.. ..Ndani ya wiki izi mbili nimenusurika ajari tano.
Leo asubuh pia nimenusurika ajari, Jana pia , juzi pia ndio ilikua mbaya Sana.
Nawaza TATIZO linaweza kua Nini sijapata majibu kwa kweli juu ya hili swala..
KIJANA
Going too soon π apumzike kwa amani
ππππsali sana ... .. mambo ni mengi ..humu duniani.Ikiwa Y Mungu basi yatimizwe lkn vinginevyo yakuepuke.. ..
Duhhh, kuwa Makin mkuu,( ikiwezekana tulia home kwanza kwa mda Fulani), Yawezekana kuna roho inakutamani uende sehemu husika.. π€π€Ndani ya wiki izi mbili nimenusurika ajari tano.
Leo asubuh pia nimenusurika ajari, Jana pia , juzi pia ndio ilikua mbaya Sana.
Nawaza TATIZO linaweza kua Nini sijapata majibu kwa kweli juu ya hili swala..
KIJANA
Going too soon π apumzike kwa amani
Asante, nimeongeza Dua na maombi na kumakinika.Duhhh, kuwa Makin mkuu,( ikiwezekana tulia home kwanza kwa mda Fulani), Yawezekana kuna roho inakutamani uende sehemu husika.. π€π€
Ungelikiacha plain bila kufuta futa ungelivunja maadili?Amepata ajali maeneo ya mbezi kibanda Cha mkaa jana asubuhi tarehe 15/4 2025.
Mwili uko hospitali ya taifa Muhimbili -Mloganzila, kwa anaweza kumfahamu au ndugu zake.View attachment 3306070