Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

[emoji1787][emoji1787]kumbe kataa ndoa tuna wasaidia mpunguziwe mahari .
 
Vijana hawataki kuoa, Wanashangaa kulipa mahali. Vijana wa sasa tumekuwa watu wa kutake easy to everything.
Sasa mtu unataka uoe bila Mahali?!
 
Vijana hawataki kuoa, Wanashangaa kulipa mahali. Vijana wa sasa tumekuwa watu wa kutake easy to everything.
Sasa mtu unataka uoe bila Mahali?!
Humu wengi ni bendera fuata upepo.
 
Kwa hiyo unataka sogea tukae,kaka fuata taratibu kama kweli unampenda huyo binti,kakupa msimamo wake sasa kama umeshindwa sio lazima
 
Imeisha hiyo,mtu anataka aishi na binti mwenye wazazi ama walezi wake sogea tukae nani kasema yeye aende nyumbani akakutane na wazazi wa binti full stop
 
Milion 3?. Wanawake bhana.
Sasa hapo utakuta hata huyo mwanamke hiyo hela hajawahi kuipata na wala hana.
Kuna jamaa hivi hivi siku ya kutoa mahari, mwanaume akajinyonga.
Milioni 3 itolewe kama mdada bado ana bikra. Lkn kama kuna mhuni anaivhakata mbususu kwa chipsi za buku 3 wewe unatoaje mili 3 ??
 
Muoaji kajijenga halafu mahari ya 3M analialia.

Ndoa kuwa bahati haimaanishi watu wasiwe na vigezo.
 
Milioni 3 itolewe kama mdada bado ana bikra. Lkn kama kuna mhuni anaivhakata mbususu kwa chipsi za buku 3 wewe unatoaje mili 3 ??
Utasema anunua ng'ombe Kwamba ataenda kukamua maziwa 😀
 
Binafsi wake zangu wote wawili niliwaoa kwa mahali ya msaafu. Kuna wazazi waliwahi kusteti kwamba wamekaa wamefikiria wakaona ni vyema nitoboke 1m. Nikacheka kwa nguvu, nikamvuta mshenga mkono tukaondoka zetu bar huku tunakenua
Mahari ni misahafu na mazungumzo ni bar. Hapo sasa....
 
Kwani mwanamke akifikisha miaka 30 hafai kwa ndoa kwani?maana mtoa mada kasema akifika 30 age watamchoka
 
mahali 3M bora nikanunue shamba tu nilime
 
Mkuu mfanyie close supervision huyo binti mwenye kutaka mahari ya 3m utafikiri baba ake anazo. Baada ya miaka miwili tuletee mrejesho kama bado hajazalia kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…