America is fast becoming a third World country

Eti US ashuke kiuchumi awe kama TZ, Malawi, Zambia n.k

Ama kweli dunia ina wehu na majuha.
 
Hao watu wasamehe mkuu, ni zaidi ya matahira.

US aporomoke awe kama Tz, hata mwehu hawezi kuwa na akili kama hizi.
 
Majibu ya hayo maswali ndio yatakuonesha dira kuwa rise ya U.S.A tayari ilishatokea miaka mingi iliyopita Ila fall yake haiwezi kutokea siku za usoni iwe ni miaka 10 au hata 30 bado marekani ana nafasi ya kuendelea kuwa super power labda miaka 50 na 100 ijayo
 
Nchi unayosema inaelekea kuwa third world mwaka 2020 kwenye COVID-19 Chairman wao wa Federal Reserve Bwana Jerome Powell alitoa karibia dola za Marekani trilioni mbili kama stimulus package kwa raia kupunguza makali ya janga hilo. Hiyo ni zaidi ya trilioni 4,660 za kibongo. Kuna third world country inaweza toa hata 0.001 ya hiyo?

Ebu amka ndotoni kijana. Marekani ina bases zaidi ya 52 za kijeshi duniani, hakuna nchi ina hata military bases 3 nje yake. Kwenye G20 kuna nchi kibao zinahost majeshi ya Marekani kwao. Germany, Australia, Japan, South Korea.

California ina uchumi unazidi Russia. California ingekuwa ni nchi huru inajitegemea ingekuwa kama sio ya kumi duniani ni ya kumi na moja. Hapo hujataja majimbo mengine kina Texas yaliyojaa mafuta. Ebu acha ujinga
 
Lete facts hapa,hatutaki bla bla.Mbona mimi nimeleta facts,lete za kwako.
 
 
Yote uliyo weka hapo yanaporomoka and this is reflected in the life of an average American.
Acha kutafuta quotes to justify your forgetfulness!

Ulisoma kitu umesahau sema nimesahau sio unatafuta vimaneno kujustify your stupidity ya kusahau vitu
Wewe ni mjinga sana.Yaani nikisema usinikumbushe ina maana nimesahau!Maana yake ni kwamba it is stupid to such an extent that I do not want to recall.

Anyway ngoja nikuingizie darasani kidogo.Third World countries are characterized by (1) high rates of poverty
(2) economic and/or political instability, and
(3) high mortality rates
.
America kwa sasa has those characteristics or is almost there,so there is no doubt that it is a Third World Country.

NB:Naomba ukijibu ulete facts,or else kaa kimya,usiniletee hewa.
 
Jamani mbona hivyo. KWELI USA huyuhuyu kumcatergorise Kwenye third world countries
 
Mimi naona kama unaota vile,tena mchana kweupe!
Unajua,ni ajabu kwamba you guys do not appreciate these obvious facts.There is only one reason for this,hamsomi.Ikiwa viongozi wenyewe wa Marekani,na hata the NWO cabal inakiri kwamba ni kweli,who are you to say it will not happen.Let me remind you that there is no major manufacturing going in the US at the moment,viwanda almost vyote vimehamishiwa China,except for the Military Industrial Complex.Acheni ushabiki wa kijinga,America is in a state of decay.
 
Jamani mbona hivyo. KWELI USA huyuhuyu kumcatergorise Kwenye third world countries
Mkuu lete facts,mdomo mtupu haulambwi.Wewe unaangalia magorofa na miundo mbinu,hivyo sio vigezo!
 
Jamani mbona hivyo. KWELI USA huyuhuyu kumcatergorise Kwenye third world countries
Third World countries are characterized by (1) high rates of poverty
(2) economic and/or political instability, and
(3) high mortality rates
.
America kwa sasa hasa those characteristics or is almost there,so there is no doubt that it is a Third World Country or is soon becoming a third world country kwa vigezo hivyo hapo juu.

Hata hivyo kama wewe hujawahi kufika US na umekuwa fantasized about America,itakuwa vigumu sana kuelewa.Tumezoea kusifiwa sana Marekani,that was fantasy,America ile,sio ya sasa.
 
You are an intelligent mind,thankyou.Infact mimi naiona America as a failed state already,mifumo yote inakuwa dismantled.I feel sorry for Americans.
Bwana Mathanzua leo naomba nikiri kuwa kati ya watu nilikuwa nawaona wa hovyo humu ndani ni pamoja na wewe,hasa kwenye hizi mada zako.

Lakini nikajipa muda wa kutafakari madai yako na kile kinachoendelea duniani nikabaini kwa kiasi kikubwa upo sahihi.
Mfano kulikuwa na umuhimu gani wa hizi chanjo? AU kelele vitambulisho vya utaifa? simu kwa vidole? Ndoa za jinsia na ushoga kuwa eti ni moja ya haki!! kubadili jinsia nk.
Nikabaini lazima kuna kitu na si kingine bali ni hiyo NWO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…