Mkuu nikuulize maswali machache :-
i, Unafahamu kuwa marekani anaimiliki millitary base ngapi duniani?
ii, Unafahamu hizo millitary base anazo miliki marekani anamiliki kwenye nchi ngapi ?na kiasi gani Cha fedha anazifadhiri hizo nchi kwa yeye kuweka millitary base?na namna gani anaweza kuzihakikishia usalama hizo nchi?
iii, Unafahamu kuwa marekani anatoa mchango wa asilimia ngapi kwenye mashirika ya Umoja wa mataifa mfano shirika la afya, chakula ,wakimbizi n.k?
iii, Unafahamu ni sifa zipi za kiuchumi nchi inatakiwa kuwa nazo ili iitwe dunia ya tatu ?
iv, Unafahamu ni sifa zipi za kiuchumi nchi inatakiwa kuwa nazo ili iwe dunia ya kwanza?
iv, Unafahamu budget ya fedha ya mwaka ya marekani ni ipi na nchi za dunia ya tatu budget zao ni zipi?
V, Unafahamu marekani yupo kwenye ushirikiano na muungano mingapi ya kiuchumi na kijeshi na anachangia kifedha kwa asilimia ngapi tofauti na wenzake?
Vi, Unafahamu ni mataifa mangapi marekani anayafadhiri kiuchumi duniani kupitia misaada na mikopo?
Vii, Unafahamu ni mabenki makubwa mangapi duniani marekani anaimiliki?
Vii, Unaifahamu GDP ya Marekani Ni ngapi?
Viii, Unafahamu ni mataifa mangapi yanamtegemea marekani kiulinzi pia na Kisayansi na teknolojia?
ix, Unafahamu budget ya ulinzi ya marekani ni kiasi cha fedha kumlinganisha na mataifa ya dunia ya tatu?
X, Unafahamu GDP ya china Ni ngapi na ni miaka mingapi ijayo China imepanga kumfikia marekani kiuchumi ?kwa sababu huyu pekee ndio anayemfukuzia marekani kwa ukaribu zaidi
Xi, Unafahamu marekani anaushawishi kiasi gani duniani?
Xii, Unafahamu marekani ameweka kiasi gani cha fedha na dhahabu?
Xiii, Unafahamu taasisi ngapi zinazo ongoza nchi ya marekani ? uimara wake ulivyo pia unafahamu?
Xiv, Unafahamu ni kwanini China licha ya kuwa na uchumi mkubwa na ushawishi sehemu mbalimbali dunia bado hajaweza kumwangusha marekani Ila bado anamtegemea marekani kiushirikiano mbalimbali wa kibiashara pamoja na Kisayansi na kiteknolojia?
Xv, Unafahamu ni mifumo mingapi ya kiuchumi dunia imeshikiliwa na marekani na washirika wake mfano kibiashara, kifedha, kiteknolojia n.k
Xv, Unafahamu ni viwanda vingapi marekani anamiliki ndani na nje ya nchi yake vinavyokuza uchumi wake?
Ni hayo tu maswali machache niliyonayo ninaweza kukuongezea mengine Kama kutakuwa na ulazima wa mimi kufanya hivyo
Hivi unajua once upon a time Africayako hii ilikuwa super power for Long time?? lkn mmefichwa msijue na wengi hamjui? tokana na kupewa Elimu mfu?
Wazungu wababe woote Duniani, na wagunduzi wote Duniani kabla ya Yesu walio pelekea Mabadiriko Makubwa makubwa Ulaya walisoma na kutokea upande huu wa kanda ya Africa!! lkn wapi?! kazi hiyo nakupa.
Ukirudi nyuma kidogo umewahi kujiuliza kwa nini Alexander the Great alipigana vita kuelekea Kusini mwa nchi hiyo?? Na kwa nini asipigane kuelekea Mashariki au Magaharibi ya nchi hiyo penye Maendeleo leo makubwa??...
Kwa nini alikabiliana na pingamizi kubwaa ktk ukanda huu! wkt Magaharibi hakukuwa na pingamizi walikuwa ni wavuvi tu Miafrica mmepigwa kitu kizito sana!!.....
Je unajua Trend ya u super power Duniani ulianzia wapi na uka enda vipi na Mpaka kufika hapo ulipo Leo kwa USA ??
Je unajua na kuamini u-super power upo kwa aina ya Mzunguko Duniani?? kama ni ndiyo hizo zoote super powers countries ziliangushwa mbaya, na mpaka leo hazina ubavu kabisaaa! jiulize kwa nini isiwe USA??
Je unajua kwa nini ilikuwa USA km super power country? when where, en why? km ni ivo kwa nini isianguke??...zingine zilizo anguka zilikuwa Imara zaidi ya USA! Hata hawakuwahi kuota ku-drop out!
Je Unajua kuwa Vita zooote Duniani ni vita ya Financiers? World Bankers? kwa nini?.... toa sababu!! km ni ivo kwa nini USA asishindwe??
Sababu zilizo ifanya German kushindwa ktk kiini macho cha vita ya pili ya Dunia, ndo kitaifanya USA kushindwa leo hii Green card Lottery ni kiini Macho ambacho ni wachache sana tunakijua undani wake!
Hata hiyo BOT si mali yenu km nyie wabongo!! msijidanganye! bali hiyo ni Mali ya mwenyewe Mdhamini MKubwa wa vita Duniani haguswi, akitaka lake linakuwa lake!......
hao hao wadogo zake huyo Bwana ndo wanaleta shida Somalia, Nigeria, S.Sudan, na sasa Msumbiji, nk hawaguswi na hwaulizwi kitu, wakiamua wameamua!
na hii vita ya kigaidi ktk Bara la Africa ukitizama vizuri kwa jicho la tatu imegawanywa kikanda kulingana na ukubwa wa Bara la Africa lilivyo! na hamchomoki!
jiulize tu hao Magaidi woote wa bara Africa woote wanapata wapi siraha, logistics za kijeshi!! mafunzo ni waafrica weusi wanapata wapi mbinu za kushindana na sirikali za kiafrica zilizo washinda wakoloni kwa mtutu wa Bunduki??
Hakuna tajiri yeyote Mwafrica wala nchi yeyote Africa hii inayo weza dhamini magaidi kwa hela zipi?? eti sijui vita ya wenyewe kwa wenyewe ktk Africans' soil!. hakuna tjiri wa hivo Africa na asifilisike dakika sifuri........
Labda nikuulize ivi Unajua Konyi alipo sasa?? je ali kwenda wapi ewe mgalatia?....Prince JOHNSON mbishi .Rolaa Nkunda nk unawasikia wako wapi wewe??
Kama mkongwe Savimbi alikamatwa na kuuawa mara moja, tena faster tuuu!! je hao vijana wadogo ni akina nani wamshinde Mkongwe wa vita!.....
USA inaweza geukwa na Financiers/Bankers wa Dunia dakika sifuri tu, na mambo yakaenda na mlioko huko USA mkatamani kurudi huku! hawapangiwi wale!
kwa taarifa yako Sangreal international , La Medici, Marquiz de Libex nk! ndo wanaendesha Dunia yote hii, ni Familia 13 tuuuuu!! wako juu ya sheria!
Na hata km haita kuwa leo wala kesho lkn USA (NATO In general} haiko mbali na huo ukweli....hiyo ni sheria ya Historia ya Dunia hapana, siyo sheria ya Smaki!...ni Dunia ndo ilivyo! usijidanganye kijana!