Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Unapo ona taifa lolote limeanza kupiga Energy Infrastructure, Bridges, kiujumla miundombinu ujuwe limeisha zidiwa au yamezidiwa. Ukifatilia hi vita tokea mwanzo wao wakipiga civilian target Iran anapiga na yeye kulipisha walicho kipiga mfano power station na yeye anapiga vile vile lakini unawacha kupiga Target za kijeshi unaenda piga civilian target hapo niwazi umezidiwa unataka taifa unalo pigana nalo likupe ushindi sababu kijeshi limekuzidia.
Iran shikilia hapo hapo mwisho wa siku Trump na Netanyahu watajuta kuingia hi vita maisha yao yote.
FA: Tafadhali rekebisha headline iwe Wametangazia
Iran shikilia hapo hapo mwisho wa siku Trump na Netanyahu watajuta kuingia hi vita maisha yao yote.
FA: Tafadhali rekebisha headline iwe Wametangazia