America ndio wababe wa hizi kazi na wamerudi mzigoni kwa kasi sana

America ndio wababe wa hizi kazi na wamerudi mzigoni kwa kasi sana

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
658
Reaction score
1,605
Wapendwa kwanza niwatakie heri ya X mass na mwaka mpya, then niende kwenye mada yangu

Nadhani hakuna asiyejua kua America ndio baba wa ubepari, kuna miaka hapo nyuma walikua wanajificha sana katika mavazi ya demokrasia lakini tangu aingie mwamba Trump amekua sio mnafiki jamaa kaamuua kuingia mzigoni live live anazisaka mali kwa hila, nguvu na propaganda

Sasa wasiwasi wangu ni kwamba kuna nchi moja ya kusadikika naona wameanza migogoro yao ya ndani kwa ndani yahani ni kama wanataka kumpa sababu bwana Donald kuja kulamba utamu wa rasimali za wanakusadikika

Kama picha inayoonesha hapo chini wenzako wamefikiwa bado zamu yako

FB_IMG_1766922314679.jpg
 
Back
Top Bottom