Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

Ficha upumbavu wako, yani mtu pension yake aliyoifanyia kazi kwa tabu ndio aje aigawe kwa watu ambao pengine hawana hata shukrani?halafu aishije maisha yake ya uzeeni?
 
Dah wewe ndugu hela aliisotea mzee wako unasikitika nayo, hiyo ni mafao yake kwa kazi aliyoifanya, matatizo ya ndugu yanamuhusu nini na hiyo hela yake.

Unafikiri akiwasaidia hao watu, mzee akiumwa watamsaidia? , Maisha ya uzee ni magumi sana maradhi kila kukicha.
 
Acha izo mentality mzee maisha ni hapa hapa nothing is guaranteed, unashangaa familia nyingi baada ya wazee kufariki vijana ndio wanaanza kuishi kwa furaha mjini ni kutokana na izo mambo. What am saying is kama kuna wakusaidia wafanya ivo hamna haja yakuzifungia wakati yeye mwenye umri wake uko kwenye danger zone tayari kuna aja gani yakufanya ivo kweli maana uwezekano mkubwa ata yeye mwenyewe anaweza asizitumie si bora asaidie where possible.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Huyo mstaafu hata afanyeje hiyo hela itatumika na itakata tu. Kuna laana fulani wastaafu lazima wapitie ya kupata hela nyingi na mwisho kuishia kuwa tegemezi kwa watoto wao na mwisho kufa wakiwa hawana hata sh, 100. Yeye ni nani aruke hizo stages
 
Kuna rafiki yangu nilikua naye gym mzee wao kawaambia wapambane kutafuta vya kwao yeye vya kwake ameshaandikisha kanisa watavichukua.
 

Nyie ndiyo mnao uwa wazee wanu mpate hela yake, Kwanza ushasema anakuwa kwenye age danger zone, hapo anahitaji fedha kuliko kitu kingine, wazee kibao wanaishi maisha mazuri na wanagonga mpaka 90yrs old kama hela ipo.
 
CHECK NA FINCA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…