Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Basi kwa sababu yeye ni mwalimu msataafu na kazoea kelele za wanafunzi anunue machine ya kusaga
Nimekushtua mkuuDuh!
Ahahah....tatizo siku hizi mashine za kusaga hazina tija.Nimekushtua mkuu
Msaidie apate hati fungani atapata hela kila baada ya miezi mitatu mitatu zaidi ya hiyo laki saba.. huku ile mil 80 yake ipo intact !!
Ficha upumbavu wako, yani mtu pension yake aliyoifanyia kazi kwa tabu ndio aje aigawe kwa watu ambao pengine hawana hata shukrani?halafu aishije maisha yake ya uzeeni?Huyu mama ndio mfano halisi wa wazazi wa kiAfrica yani unataka kufungia 80M as if hauna ndugu na jamaa wanashida husikute ata watoto bado wanaitaji boost kwenye maisha yao. Nimeshindwa kuelewa uelewa wa wazee wetu wa kiAfrica yani huu ubinafsi ndio unaturudisha nyuma sana.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
ni kweli, benki nyingi zinatoa faida ya 8 - 12% kwa mwaka huku zenyewe zikipata 18 - 20%.
Asisahau bank ikifirisika atakachoambulia kulipwa ni 1,500,000/=million na nusu tu katika hela yako
Dah wewe ndugu hela aliisotea mzee wako unasikitika nayo, hiyo ni mafao yake kwa kazi aliyoifanya, matatizo ya ndugu yanamuhusu nini na hiyo hela yake.Huyu mama ndio mfano halisi wa wazazi wa kiAfrica yani unataka kufungia 80M as if hauna ndugu na jamaa wanashida husikute ata watoto bado wanaitaji boost kwenye maisha yao. Nimeshindwa kuelewa uelewa wa wazee wetu wa kiAfrica yani huu ubinafsi ndio unaturudisha nyuma sana.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
CRDB Bank Fixed deposit account, atakuwa anapata around 650,000 kwa mwezi.
😀acheze foreks
CRDB Bank Fixed deposit account, atakuwa anapata around 650,000 kwa mwezi.
Acha izo mentality mzee maisha ni hapa hapa nothing is guaranteed, unashangaa familia nyingi baada ya wazee kufariki vijana ndio wanaanza kuishi kwa furaha mjini ni kutokana na izo mambo. What am saying is kama kuna wakusaidia wafanya ivo hamna haja yakuzifungia wakati yeye mwenye umri wake uko kwenye danger zone tayari kuna aja gani yakufanya ivo kweli maana uwezekano mkubwa ata yeye mwenyewe anaweza asizitumie si bora asaidie where possible.Dah wewe ndugu hela aliisotea mzee wako unasikitika nayo, hiyo ni mafao yake kwa kazi aliyoifanya, matatizo ya ndugu yanamuhusu nini na hiyo hela yake.
Unafikiri akiwasaidia hao watu, mzee akiumwa watamsaidia? , Maisha ya uzee ni magumi sana maradhi kila kukicha.
Kuna rafiki yangu nilikua naye gym mzee wao kawaambia wapambane kutafuta vya kwao yeye vya kwake ameshaandikisha kanisa watavichukua.Huyu mama ndio mfano halisi wa wazazi wa kiAfrica yani unataka kufungia 80M as if hauna ndugu na jamaa wanashida husikute ata watoto bado wanaitaji boost kwenye maisha yao. Nimeshindwa kuelewa uelewa wa wazee wetu wa kiAfrica yani huu ubinafsi ndio unaturudisha nyuma sana.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Acha izo mentality mzee maisha ni hapa hapa nothing is guaranteed, unashangaa familia nyingi baada ya wazee kufariki vijana ndio wanaanza kuishi kwa furaha mjini ni kutokana na izo mambo. What am saying is kama kuna wakusaidia wafanya ivo hamna haja yakuzifungia wakati yeye mwenye umri wake uko kwenye danger zone tayari kuna aja gani yakufanya ivo kweli maana uwezekano mkubwa ata yeye mwenyewe anaweza asizitumie si bora asaidie where possible.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
CHECK NA FINCAMama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya.
Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha 700,000 kila mwisho wa mwezi kutoka katika hiyo milioni 80 yake. Je kuna bank hapa Dar inatoa huduma hiyo. Hataki kufungua biashara nyingine kwa maana tayari anayo mabucha mawili ya nyama Ubungo na Sinza.
Msaada please.
here we go...Ni 6% tu hakuna ziada