Vodacom juzi kati walitangaza hawatatoa gawio la faida kwa maana wamepata hasara. Sasa hizo fixed bank deposits na hati fungani haziwezi kuja kusema maneno kama hayo?Hati fungani au bank ndo sehemu nzuri ila kwangu mm hati fungani ndo chagua zuri. Rate kubwa na kila miezi sita unapata gawio lako na pia unaweza kuuza ukitaka na baada ya mda kusiha unarudishiwa fedhha yako yote yote
Vp makampuni ya simu/mobile money hawana huduma hizi?
Kampe Mr. Chicken( kuku), biashara yake imesha halalishwa sahiviMama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya.
Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha 700,000 kila mwisho wa mwezi kutoka katika hiyo milioni 80 yake. Je kuna bank hapa Dar inatoa huduma hiyo. Hataki kufungua biashara nyingine kwa maana tayari anayo mabucha mawili ya nyama Ubungo na Sinza.
Msaada please.
Hati fungani haziwezi kuja na matamko ya hasara. Bank siwezi fafanua mana sina ujuzi nazoVodacom juzi kati walitangaza hawatatoa gawio la faida kwa maana wamepata hasara. Sasa hizo fixed bank deposits na hati fungani haziwezi kuja kusema maneno kama hayo?
Kwanini wakati nao pia wanategemea ku reinvest hiyo pesa ili kumpa mteja wao faida, na biashara kuna kupata na kukosa?Hati fungani haziwezi kuja na matamko ya hasara.
Unaanza kuweka kuanzia kiasi gani?Hati fungani haziwezi kuja na matamko ya hasara.
Tembelea stockbroker yoyote posta watakuelezea kiasi cha chini kuwekeza. Hawa ni unaowakopesha ni Bank of Tanzania. Wana process zao lakini hakuna hasara kwa mkopeshajiKwanini wakati nao pia wanategemea ku reinvest hiyo pesa ili kumpa mteja wao faida, na biashara kuna kupata na kukosa?
Hatifungani za serikali haziwezi kuja na matamko ya hasara kwa sababu fedha hizo haziingizwi kwenye biashara - bali zinakopwa na serikali.Hati fungani haziwezi kuja na matamko ya hasara. Bank siwezi fafanua mana sina ujuzi nazo
Kwa hati fungani ya miaka 20 atapata kila baada ya miezi 6 karibu mil 6, ambayo kwa mwezi ni kama laki 8 na zaidi.Yeye anataka laki saba kila mwezi. Hizo hati fungani zitamuingizia hicho kiasi kwa mwezi?
Kwa hati fungani ya miaka 20 atapata kila baada ya miezi 6 karibu mil 6, ambayo kwa mwezi ni kama laki 8 na zaidi.Yeye anataka laki saba kila mwezi. Hizo hati fungani zitamuingizia hicho kiasi kwa mwezi?
Fluctutation ya hisa kwa mstaafu inaweza kumpa fustration naonaAkawekeze kwenye hisa ndio itamlipa zaidi
Fanya kaz mzee, acha kupenda mteremkoHuyu mama ndio mfano halisi wa wazazi wa kiAfrica yani unataka kufungia 80M as if hauna ndugu na jamaa wanashida husikute ata watoto bado wanaitaji boost kwenye maisha yao. Nimeshindwa kuelewa uelewa wa wazee wetu wa kiAfrica yani huu ubinafsi ndio unaturudisha nyuma sana.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Huyo mzee ni mjinga zaid ya wajinga wengineKuna rafiki yangu nilikua naye gym mzee wao kawaambia wapambane kutafuta vya kwao yeye vya kwake ameshaandikisha kanisa watavichukua.