Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Sio uongo; mteja analipwa 1.5m halafu atasubiri hadi pale bank kuu itakao ifilisi hiyo bank na kuuza mali zake zote kile kitakacho patikana baada ya gharama zao ndio watagawiwa tena ila huo mchakato wa kuuza mali unaweza kuchukua zaidi ya miaka 10Uongo huu kwa maana dhama na banks za kibiashara zote zipo BOT