"Amevunja kanuni na utaratibu wa chama,hatufai!kamati kuu imeridhia hatoteuliwa kuwa mtia Nia wa urais"!

Mkuu sio kwa structure ya sasa ya uongozi wa CCM.
 
Hilo jimama halifai kabisa Wananchi eleweni hivyo na msikie vyema. Ni la hovyo na tapeli kweli kweli
 
JIDANGANYE
 
Inawezekana si yeye ni waarabu wa pale Aljazira hotelini ndio waliotoa.
 
Mwenyekiti wa kamati kuu ndo yeye, na akiwa mkutanoni yeye ni amri jeshi mkuu - anaweza pia kuahirisha uchaguzi akiona mnataka kuleta chokochoko. Yule mjumbe kwa kwanza kutoa hoja kwamba HAFAI kwenye kikao yaani apae mbiguni baada tu ya kuiwasilisha

Tunawaambia kila siku katiba mpya kwa Tanzania mpya HAMTAKI.

Haya sasa, mwemyekiti wetu anaitaka 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…