Amewekewa sumu amewekewa sumu Kiko wapi? Kwa Makonda mtanyooka

Naona unajipa promo Baba Keagan. Utamnyoosha nani? Kwa kipi ukichonacho? Kwani wewe ni nani hapa nchini? We ni sawa na Queen Sendiga au Halima Dendego.

Acha mbwembwe dogo huna lolote wala huna influence yoyote hapa Tanzania.
 
Tafuta kazi ya kufanya! Unamatatizo ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…