reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji38][emoji38]shenziii[emoji1318]
NJE YA MADA:
[emoji1313]
[emoji41][emoji41][emoji41]
ASANTENI DADA ZETU KWA KUZALIA NYUMBANI,
MAANA TUNAPATA WAJOMBA WA KUWATUMA BANGI!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38]shenziii[emoji1318]
NJE YA MADA:
[emoji1313]
[emoji41][emoji41][emoji41]
ASANTENI DADA ZETU KWA KUZALIA NYUMBANI,
MAANA TUNAPATA WAJOMBA WA KUWATUMA BANGI!!!
That's good young boy,she needs you right now Ili asijekuja mchukia huyo mtoto baadaeNi dada ang lakini pia ni rafiki ang sana,,yani tuna urafiki nje ya undugu kiasi kwamba tunashirikishana izo changamoto za mahusiano ndo maana akawaacha wote me ndo akanipa mkanda mzima,,We are friends.
Kama binadam na kama mwanamke ana mapungufu mengi sana na mimi huwa namshauri sana kuhusu mienendo yake anasemaga tu sawa lakini habadiriki,,all in all she is my sister, i love her kivyovyote alivyo na ntamsupport kadri niwezavyo.
Sorry nina swali kwako, nikizaliwa na mwanamke siruhusiwi kusema mapungufu yao?Mwisho umekosea mnoo kumbuka umezaliwa na mwanamke
Ndo kitu ambachoAhhh,kwahiyo asaivi amevuna matunda.
Ni wakiume unapendekeza jina gan[emoji23]hapo cha kumshauri ni kutoa jina la mtoto tu kama bado hajapewa
Ndo tulipofkia mkuuMpuuzi huyo dada good enough alishakuambia hataki mtoto,shida ya visichana vya siku hizi kupenda maisha mazuri wasiyoyatengeneza,kakuambia hataki mtoto mle Bata tu..how dare kakabeba mimba?afu unaazaje na Mme wa mtu?
Wajinga tu muache ale jeuri yake,Mnaosoma mniwie radhi km ntakua nimewagusa Ila hata Binti yangu akizaa na Mme wa mtu ntamshangaa Sana aseehh
Sawa[emoji1787]Apambane na hali yake, hakutumwa akazae na mme wa mtu.
Iko hvo[emoji1666]Mme wa mtu kula gud time,meza P 2 sepaaa..kuzaa akazae na mkewe ,baasii
Hata mimi hiyo ndo njia amabayo ningeipita kama mwanaume, siwezi iacha dam yanguKiukweli Mimi siombei yanikute......maana hiyo ni kama ajali Tu.....lakini ikitokea nikampa mimba binti WA watu sikatai hata kama Nina mke sema tutaingia makubaliano maalumu jinsi ya kuishi Ila sitaki kero Kwa mke WA ndoa....maana Yule ndio mwenye haki zote........sema mchepu sitoutupa maana mimba akujipa MWENYEWE as long as mtoto amezaliwa na DNA check iko poa..........hapo itakuwa hamna jinsi......
[emoji1666][emoji1666]That's good young boy,she needs you right now Ili asijekuja mchukia huyo mtoto baadae
Kapima mwisho wa siku kajaa kaingia kwenye 18 za mume wa mtuJamaa hana kosa, alishweka kila kitu bayana apufronti
dada yako kajilengesha kupima upepo
Sawa mkuu [emoji1666]Nye nye mme wa mtu hata kuku naye ana mme wake jogoo,kama nchi tupo nyuma sana kwenye exposure wenzenu wananunua mbegu ili wazae na watoto wanaozaliwa baba zao ni unknown na wanaishi tu pasipo tatizo,Ebu wacha kumpea dada ako mawazo fanya kama huyo mme wa mtu ni sperm donor tu leeni huyo mtoto wacheni excuse za kijinga Alaah.
Nimemshauri ilo akasema ye anajiona ndio ana hatia na kumpeleka uko mwisho wa siku mkewe atajua atamuharbia ndoa yakeApelekwe dawati kujambishwa hata atoe hata 50 kwa mwezi aitwe ajambishwe tu
Alfu mbna amaefamya makusud kubeba
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Majibu ya maswali yote yapo uzi wa kula tunda kimasiharaWakuuu.
Dada yangu (mtoto wa mama yangu mdogo) alipewa ujauzito na mwanaume ambaye ameshaoa na wamezaa na huyo mke wake. Dada yangu alikuwa anajua kwamba huyo mwanaume ni mume wa mtu na alishawahi kuambiwa na huyo mwanaume, "kama unavyojua mimi ni mme wa mtu, kwahiyo we niambie vyote ila usije kuniambia habari za umeshika mimba yangu!"
Kwahiyo baada ya kuunasa ujauzito alifikiria sana ile kauli aliyoambiwa na jamaa tangu mwanzo lakini haikumzuia kumpa hiyo taarifa kwamba "Bwana nna ujauzito wako". Jamaa bila kupepesa macho akamjibu "Nadhani hilo swala nilishaliongea tangu zamani, kwahiyo kama una hoja nyingine lete, ila kuhusu hiyo habari ya ujauzito sijui mimi siitambui".
Dada Yangu akamuuliza kwahiyo ichi kiumbe chako vipi? Jamaa akamjibu simple tu "Utajua wewe, utakachoamua ndiyo hicho hicho kwangu mimi sawa tu, kwanza usinisumbue isije mke wangu akajua halafu ukaniaribia ndoa yangu". Dada akabaki tu ameduwaa!
Mpaka ujauzito unafikisha miezi mitatu alikuwa anaogopa kuwaambia nyumbani, lakini kama ujuavyo mimba ya binadamu haifichiki labda ya kuku. Siku ya siku tumbo hilo, kumuuliza vipi akajibu kama mnavoona au hamjaelewa nini, wakamjibu sawa. Kimbembe kikaja kwenye kumtaja aliyempa huo ujauzito, mpaka saizi hivi mtoto kazaliwa juzi tu hapa ana kama wiki mbili hivi dada hajamtaja aliyempa ujauzito na hana mpango wa kuwatajia. Anawajibu tu "Jaman eeh aliyenipa ujauzito mwenyewe hata haeleweki, kwahiyo achaneni naye. Nyie mniangalie mimi angekuwa mtu wa kueleweka kwanza mngeshamuona hapa".
Hiyo story yote kuhusu huyo mwanaume ni nani, ni mimi nilimchimba akanipa mkasa mzima na akasisitiza nisiawaambie wazee. Nikamuuliza kwanini hakutoa (kwa kumtega tu nijue anachowaza, maana mimi ni miongoni mwa watu tunaopinga vikali iko kitendo).
Akanijibu "Nimefanya ushenzi mwingi sana uko, sasa hivi naogopa nisije kupoteza uzazi wenyewe", nikamuelewa. Baada ya kijifungua hapo juzi nikaauliza vipi umempa taarifa, akaniambia "Ujauzito aligoma kuhudumia, tarehe zilivokarbia za kijifungua nikamtaarifa akanijibu vilevile nItajua mimi, ye hayamuhusu".
Kwahiyo sasa hivi dada yupo tu nyumbani analea mtoto kama single mother, baba ye hataki kujua.
Maswali nnayo jiuliza:
1. Huyo jamaa hana hata shauku ya kumuona mwanawe?
2. Dada aliwaza nini kutoka na mume wa mtu?
3. Dada atakujaje kumsimulia mjomba hadithi ya baba yake?
4. Dada atamjibu nini mjomba siku mjomba akitaka kujua alipo baba yake?
5. Dunia ina mengi, kwenye kupita huku na huku dogo anagundua yule ni baba ake, atamchukuliaje?
6. Watoto wa yule jamaa watamchukuliaje mjomba wakija kugundua ni mdogo wao?
7. Yule jamaa si anatengeneza Mond na dimpoz mwingine?
Dunia ina mengi.
#OneDayYouWillBeGone.
Dr. criminal.
Au sio[emoji23]Majibu ya maswali yote yapo uzi wa kula tunda kimasihara