Amfumania rafiki yake akiwa na mkewe gesti

Duu! Hatari tupu! Jamani wanaume Mungu wetu atuhurumie! Haya mambo ya kugegeda gegeda yana shida sana! Omba Mungu lisikukute, huku mmoja kafumaniwa, kule mwingine kahukumiwa kifungo cha kubaka mwanafunzi! Duu yote ni majanga yetu sisi tu jamani!
 
Dah nipe mjukuu nipee nijue umekuwa mkubwa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenda huko, ntumie hiyo clip nawee lol. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni pepo la ngono tu si kingine, kwanza ni kuongeza uadui na kumharibia future huyo mwanamke mana hata kumuoa huyo mayombi hawezi
Na hyo ni tabia sugu Yani marafiki wa mumeo huwa busy kukutongoza sijui hutaka wajue nini.
Ona sasa dada kaachika
 
Ila jamaa (aliyefumania) ni matured enough. Inakuhitaji uwe na moyo aisee!

Umfumanie mkeo alafu usifanye chochote badala yake ukadai fidia?
Mil 5 hela nzuri tu maana hata ukiendelea kuishi na mkeo bado hutakuwa na imani naye heri pesa tu
 
Connection ya simba au?[emoji39][emoji3][emoji16]
 
...jamani si uliniahidi nkikununulia iphone 13 utanipa tundaaa.... uliniahidiii .... ahadi huwa zina taabu sanaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…