Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.

KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Hata akiwa Mwenyekiti wa Chama kabisa,je itatusaidia nini sisi Wananchi wanyonge ambao ndugu zetu wamezuiliwa kwenye Mahospitali mbalimbali ya Serikali hapa nchini kwa kushindwa kulipa gharama za matibabu??je itatusaidia nini sisi Wananchi wanyonge ambao Maiti za ndugu zetu zimezuiliwa kwenye mochwali mbalimbali za Serikali nchini kisa ndugu tumeshindwa kulipia gharama za matibabu za hao Marehemu wetu??
 
Chongolo amepoa sana Hadi Makonda amemuweka mfukoni akiwekwa pembeni itakuwa maamuzi pia na akipozwa na huo ubalozi si katika mbaya lakini Kwa huyo Makonda kuwa Katibu mkuu haitofaa Kwa taswira ya chama kwani hiyo nafasi ya katibu mkuu inahitaji mtu mkakamavu aliyejaa hekima na maamuzi yenye tija si kila Jambo kuliongelea .finally wapo jikoni lolote lawezekana .
 
Makonda abaki mwenezi
 
Back
Top Bottom