Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.

KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Nafasi ya Mwenezi ndio the highest and the best befitting Konda Boy at the moment. CCM ina plenty able people for KM, my choice for the next KM ni Balozi Emmanuel Nchimbi.

Ila kwa mbele ya safari huko tuendako, hoja za bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... bado ziko very valid.
P
 
Na 2025 KM ataandaa fomu moja tu ya kugombea urais kupitia CCM. Wale ndugu zangu wazalendo wajipange kama kweli wanataka kumpumzisha malkia.
Ni utaratibu wa CCM kutoa fomu moja midway, ya Malkia, hivyo hakuna mtu yoyote anayepanga kumpumzusha malikia bali ni malikia mwenyewe ndie ataomba kupumzika baada ya kufikishiwa ujumbe huu
Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Back
Top Bottom