Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

Nafasi ya Mwenezi ndio the highest and the best befitting Konda Boy at the moment. CCM ina plenty able people for KM, my choice for the next KM ni Balozi Emmanuel Nchimbi.

Ila kwa mbele ya safari huko tuendako, hoja za bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... bado ziko very valid.
P
Alafu lawyer nakuheshimu Sana ila hilo. Andiko lako imenufanya ni jiulize kumbe na wewe ni kabila hivyo, eti anaepaswa kuongoza nchi ni wale walio wengi... Inamaana sisi wadigo hatustahili kisa nyie wa kolomije wengi... 🤔🤔
 
Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.

KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Vipi kuhusu swala la form 4, iko shida hapa
 
Back
Top Bottom