Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
KM sio lazima ateuliwe balozi, wenzake wengi waliachwa tu.Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Wa sasa, atateuliwa. Amini.KM sio lazima ateuliwe balozi, wenzake wengi waliachwa tu.
Hata akiwa Mwenyekiti wa Chama kabisa,je itatusaidia nini sisi Wananchi wanyonge ambao ndugu zetu wamezuiliwa kwenye Mahospitali mbalimbali ya Serikali hapa nchini kwa kushindwa kulipa gharama za matibabu??je itatusaidia nini sisi Wananchi wanyonge ambao Maiti za ndugu zetu zimezuiliwa kwenye mochwali mbalimbali za Serikali nchini kisa ndugu tumeshindwa kulipia gharama za matibabu za hao Marehemu wetu??Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Suzy kama Suzy sijawahi kukupuuzaKabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Huu ni utabiri wa hali ya hewa, wala haitatokeaKabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
we sema atakuwa keshatimuliwa.Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Makonda havuki mwaka keshoKabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Nasubir utabiri wako SuzyKabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Naunga mkono hoja in advanceKabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Makonda abaki mweneziChongolo amepoa sana Hadi Makonda amemuweka mfukoni akiwekwa pembeni itakuwa maamuzi pia na akipozwa na huo ubalozi si katika mbaya lakini Kwa huyo Makonda kuwa Katibu mkuu haitofaa Kwa taswira ya chama kwani hiyo nafasi ya katibu mkuu inahitaji mtu mkakamavu aliyejaa hekima na maamuzi yenye tija si kila Jambo kuliongelea .finally wapo jikoni lolote lawezekana .
Sawa Ngoja tusubiriKabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.