Wasukuma mlionja Power sasa naona ute unawadondoka.Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Katibu MkuuKm ndo nini wazee
🤣🤣🤣KM sio lazima ateuliwe balozi, wenzake wengi waliachwa tu.
Mh!!!...Makonda abaki mwenezi
Katibu MkuuKm ndo nini wazee
Hatari!Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Ikiwa hivyo chama kinazirai na kukata moto mazima🤪Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Nafasi ya Mwenezi ndio the highest and the best befitting Konda Boy at the moment. CCM ina plenty able people for KM, my choice for the next KM ni Balozi Emmanuel Nchimbi.Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Ni utaratibu wa CCM kutoa fomu moja midway, ya Malkia, hivyo hakuna mtu yoyote anayepanga kumpumzusha malikia bali ni malikia mwenyewe ndie ataomba kupumzika baada ya kufikishiwa ujumbe huuNa 2025 KM ataandaa fomu moja tu ya kugombea urais kupitia CCM. Wale ndugu zangu wazalendo wajipange kama kweli wanataka kumpumzisha malkia.
Pascal.... Balozi william nchimbi ni nani?? Au BALOZI EMANUEL JOHN NCHIMBI??Nafasi ya Mwenezi ndio the highest and the best befitting Konda Boy at the moment. CCM ina plenty able people for KM, my choice for the next KM ni Balozi William Nchimbi.
Ila kwa mbele ya safari huko tuendako, hoja za bandiko hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... bado ziko very valid.
P
Sasa wee chawa wa ccm na humjui bas hatar.Huwa nauliza mara zote Suzy Elias ni nani humu
Mkuu Wazo la kabwela , hizi pombe za uzeeni zinatupeleka resi sana, asante!.Pascal.... Balozi william nchimbi ni nani?? Au BALOZI EMANUEL JOHN NCHIMBI??
Kazi kuwapigia debe wengine tuSasa wee chawa wa ccm na humjui bas hatar.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila we Jamaa hizi story zako unazitoaga wapi?Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.