Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halotel kumamakezenu rekebisheni mtandao wenu internet inazinguaKupata vichekesho kama hiki cha Airtel unabonyeza ngapi
Jichanganye ndio utajua maharage ni sio chakula cha maskini pekeeeNa huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback.
Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani Tigo/Zantel, Vodacom na Halotel.
Sasa kwa eneo nililopo nimejaribu kufanya tafiti zangu binafsi ili kubaini ni mtandao gani wenye kasi zaidi kupita mitandao mingine.
Niseme tu nimekua mtumiaji wa Airtel, Vodacom na Halotel kwa muda mrefu sana. Yas au Tigo/Zantel nilisimama kuitumia kidogo kwa muda.
Line niliyoipendelea zaidi kwenye Internet ni Airtel na Vodacom ila hapa katikati nikahamia Halotel kupata huduma ya Internet.
Sasa nimekaa nikaanza kukagua hapa nilipo Halotel Internet kuna muda ni majanga yaani mtandao hauna nguvu kabisa speed majanga kabisa yaani mpaka unataka kulia km tupo mwaka 1999.
Nikajaribu Vodacom ikawa ina nguvu ila inaizidi Halotel kwa kiwango fulani H+ 4G inapanda mpaka LTE inapanda 4G/LTE uzuri wa Vodacom speed ipo juu.
Nikatoa nikaweka Yas ni mseleleko yaan speed ni zaidi ya Vodacom na Halotel yaan ni fyaaaaa fyaaaa ukigusa fyaaaaa hakuna kusubiri nikasema hapa ndio penyewe.
Nikatoa Yas nikaweka Airtel yaan mpaka yale maeneo ambayo Halotel na Vodacom mtandao ulikua hausomi unasoma E ila Airtel wamo yaan ni fyaaa fyaaa faya nikibonyeza fyaaaa fyaaa faya speed ndio moto hakuna mfano yaan fayaaa shwaaa.
Kwa speed hii :
1] Airtel nimewapa 4.8/5
2] Yas nimewapa 4/5
3] Vodacom nimewapa 4/5
4] Halotel nimewapa 2.5/5
Halotel waboreshe huduma ya Internet kuna maeneo mtandao ni majanga kwa kweli mpaka line unatamani uiweke sub kabisa usiitumie.
Sasa leo nimenunua kifurushi cha Mwezi Halotel ila muda huu mtandao mpaka nilengeshe eneo yaan ni H+ tu ni ya kulenga kutafuta angle upate Internet na mnara haupandi kabisa 4G yaan ni majanga kabisa mwisho H+. Mpaka nasema ile hela bora ningeenda kununua Pepsi tu kwa Mangi ninywe nijue kimoja.
Airtel wamefunika kwenye kasi ya Internet nimekubari sio mchezo sisi tunaopemda speed km imefungwa turbo wametuweza yaan ukibonyeza shwaaaa shwaaa fayaaaa.
Halotel boresheni huduma ya Internet mnatupa tabu sana wateja wenu yaan kitu kina-load mpaka unajutia pesa zako ulizonunulia bando.
Sina mengine mengi ya kusema. Itoshe kusema nimemaliza kusema.
Waambieni Halotel waongeze fiber mtandao internet is slow and down every now and thenLabda sio voda nayoijua mimi!
Halotel rekebisheni huduma ya internet mtandao upo chiniJichanganye ndio utajua maharage ni sio chakula cha maskini pekeee
Faiba yake hii au laini yako tu?View attachment 3197145
Yas inatisha sana mkuu. kuna muda inanipa hadi 120mbs. Hii ni speed yangu sasa hivi.
Fiber mkuu sijawahi kutumia line ya tigo kabiisaFaiba yake hii au laini yako tu?
Aisee huku kigamboni haijafika hiyo naona wapo TTCL tuFiber mkuu sijawahi kutumia line ya tigo kabiisa
Nadhani sasa hivi wamehamia dodoma... wako vizuri japo sometimes kuna changamoto... mfano mwezi huu imenisumbua week nzima kila nikiwacheki wanasema wanakuja hawaji mwisho nimejifanya fundi nikarekebisha mwenyewe kibahati bahati tu.Aisee huku kigamboni haijafika hiyo naona wapo TTCL tu
Halotel internet mpaka upande kwenye mwembeAisee huku kigamboni haijafika hiyo naona wapo TTCL tu
Hiyo haifai aiseeHalotel internet mpaka upande kwenye mwembe
Faiba huduma kwa wateja wanakuwaga wahuni sanaNadhani sasa hivi wamehamia dodoma... wako vizuri japo sometimes kuna changamoto... mfano mwezi huu imenisumbua week nzima kila nikiwacheki wanasema wanakuja hawaji mwisho nimejifanya fundi nikarekebisha mwenyewe kibahati bahati tu.
Nakwambia kila siku wanasema wanamtuma mtu haji... nikagundua kuna sehemu waya wa fiber unaotoka kwenye nguzo unaingia halafu kuna waya mwingine unatoka kwenye hicho kidude unaingia kwenye router. nikachomoa nyaya zote nikaona port zinafanana. nikaamua hicho kidude nikiweke pembeni na kukifungua ndani hakuna kitu ni sawa tu na extension ya waya. nikaona nikituoe waya unaotoka kwenye nguzo nikauunga moja kwa moja kwenye router. Tatizo likawa solved na internet stable than ever.Faiba huduma kwa wateja wanakuwaga wahuni sana
Nipodaah mkuu Joseverest no sii u kitambo sana, upo?
Inategemea sehemu na sehemuHalotel internet mizinguo
Kuna line mbili hata bure stakie kuzitumia na sitegemei,kuna Airtel na hàlotelHalotel kumamakezenu rekebisheni mtandao wenu internet inazingua
Unyama huu 🙌View attachment 3197145
Yas inatisha sana mkuu. kuna muda inanipa hadi 120mbs. Hii ni speed yangu sasa hivi.
Kama unatumia kifaa cha zamani sawa ila kwa sasa 1 gigabit 5G ya Tigo, then 5G voda then wengine, hata kwa 4G wenye 4G lte Advance kama Tigo wapo vizuri, hapa Tigo hata naogopa ku speedtest lte advance yao, maana ni 100-200Mbps speed.Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback.