Amini usiamini ila Airtel ndio Mtandao wenye kasi zaidi ya Internet kwa sasa kupita mitandao yote

Jichanganye ndio utajua maharage ni sio chakula cha maskini pekeee
 
Airtel ipo kasi sana Aise, 😋😋😋. Shida ni moja ukiwa unaongea na simu mtandao unataka
 
Aisee huku kigamboni haijafika hiyo naona wapo TTCL tu
Nadhani sasa hivi wamehamia dodoma... wako vizuri japo sometimes kuna changamoto... mfano mwezi huu imenisumbua week nzima kila nikiwacheki wanasema wanakuja hawaji mwisho nimejifanya fundi nikarekebisha mwenyewe kibahati bahati tu.
 
Faiba huduma kwa wateja wanakuwaga wahuni sana
 
Kama unaishi chini ya mnara wa Airtel na WA voda upo 6km nyuma ya mlima; what to expect? Fool
 
Faiba huduma kwa wateja wanakuwaga wahuni sana
Nakwambia kila siku wanasema wanamtuma mtu haji... nikagundua kuna sehemu waya wa fiber unaotoka kwenye nguzo unaingia halafu kuna waya mwingine unatoka kwenye hicho kidude unaingia kwenye router. nikachomoa nyaya zote nikaona port zinafanana. nikaamua hicho kidude nikiweke pembeni na kukifungua ndani hakuna kitu ni sawa tu na extension ya waya. nikaona nikituoe waya unaotoka kwenye nguzo nikauunga moja kwa moja kwenye router. Tatizo likawa solved na internet stable than ever.
 
Kama unatumia kifaa cha zamani sawa ila kwa sasa 1 gigabit 5G ya Tigo, then 5G voda then wengine, hata kwa 4G wenye 4G lte Advance kama Tigo wapo vizuri, hapa Tigo hata naogopa ku speedtest lte advance yao, maana ni 100-200Mbps speed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…