Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!