Kikubwa tukitaka kuiangusha CCM Ni kuwekeza migogoro ndani ya CCM ili wavurugane na wapoteane ,wasiwe wamoja,Ni ngumu mno kupambana na CCM iliyoshikamana pamoja Ni dude moja lenye nguvu zisizo za kawaida,kikubwa Kwanza Ni kuotesha migogoro humo,pia kushikia bango katiba na tume huru,bila hivyo kuimenya CCM vipande vipande yaani Ni Bora hata usipoteze raslimali zako kupambana nao .Kama walivyoanza kuparurana hivi hapo ndo POA Sasa chochea Moto uweke na petroli juu kutoka sources tofauti tofauti tu,Hadi 2025 CCM watakuwa wamelegea wanavuja damu,wako vipande vipande,hivyo uchaguzi ukifika watakuwa Ni wakusukuma Kama mlevi tuuu