Unakosea kitu kimoja, rais wa sasa hajachaguliwa kwahyo hana nguvu hiyo unayoisemea naye ndio kwanza anatengeneza mfumo wake, lakini sio rahisi kutengeneza mfumo mpya wakati upo mfumo uliomuweka Magu, kwahyo anapambana na nguvu ya Magu ambayo kiuhalisia ina nguvu bado za kutosha tu, alichokosea yeye baada ya Magu kufariki alipaswa kuwa pamoja na kundi lile la Magu sasa yeye analiondoa taratibu kuweka kundi lake, ni ngumu sana kwani yeye pia alikuwa kundi la Magu, kwahyo ni sawa na kusema bado kundi la Magu lina nguvu kwenye hii awamu na linajipanga kuweka mtu wao, subiria uchaguzi ufike ndio utawajua sukuma gang