hapakazit
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 839
- 663
Hata chademaNawakumbusha tena na tena vijana au watu walioanza kufuatilia au kusahahu
Rais wa Tanzania ana nguvu sana sana
Rais wa Tanzania anaweza kubabaishwa na jeshi sio Spika wala Bunge lenyewe
Ulipoanza mjadala wa JPM aliwapiga marufuku wabunge 'kudemka' …uliwaskia tena wakidemka?
Kosa kubwa wanalofanya wana mitandao ya sasa ni kuanzisha mtandao wa kupambana na Rais
Lowassa alichemka hapo na sasa wanachemkia hapo hapo
Mtandao wa Jakaya wa 1995-2005 katika makosa waliyojiweka nayo mbali sana ni kuonekana wanapambana na Rais…wao mapambano yao yaliishia kwa Fredrick Sumaye hawakuthubutu kwenda juu zaid na sana sana wakibatiza wao ni Vipenzi na watetezi wa Mzee Mkapa dhidi ya utendaji mbovu wa Sumaye
Kupambana na Rais wa Tanzania ukiwa ndani ya chama chake unahitaji akili kubwa ambayo kwa sasa ndani ya Bunge na ndani ya Chama haipo…
Kupambana na mwenyekiti ukiwa ndani ya chama chake unahitaji akili kubwa ambayo kwa sasa ndani ya ndani ya Chama haipo…
Ndo maana zito kabwe na kitila walipo jaribu walifurushwa kama mke aliefumaniwa au sumaye alipo unusa uenyekiti alikosa hata kiti cha kanda ya pwani