mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
He hii ni afya kwa mustakabari wa taifa au matumbo ya watu wachache?,hii ndio maana leo hii tunaona wabunge haohao waliopitisha muswada flani bungeni nao wakija mtaani wanaanza kulalamikia huohuo muswada walioupitisha.Kitu ambacho hujui siku zote ccm hulinda maslahi yake kwa kukutaa na kuandaana na kumaliza tofauti zao kisha wakaingia jimboni kama kitu kimoja
USSR