Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kitu ambacho hujui siku zote ccm hulinda maslahi yake kwa kukutaa na kuandaana na kumaliza tofauti zao kisha wakaingia jimboni kama kitu kimojaWapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Wabunge wa CCM ni wepesi kusahau/kujisahaulisha kwa ajili ya matumbo yao.Wote waliopo sasa hivi ni zao la kokoro,wakitishwa kidogo tu wanarejea kwenye mstari wa chama.Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Kitu ambacho hujui siku zote ccm hulinda maslahi yake kwa kukutaa na kuandaana na kumaliza tofauti zao kisha wakaingia jimboni kama kitu kimoja
USSR
Kwa nini sasa Dkt.Ndugae anadharaliwa sana?Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
7.Rais Samia anaonekana ni mwana Demokrasia kuliko mtangulizi wakeIpo hivi ccm isipoanguka itaponea tundu.
.wabunge wa upinzani watakuwa wengi sana bungeni zifuatazo sababu.
1.Hakuna mtu mwenye nguvu ya kuwalazimisha police na wakurugenzi waibe kura kwa hofu ya kufukuzwa Kazi
2.Kupita bila kupingwa hakipo tena
3.wanachama wa ccm ambao wengi ni wazee idadi yao inapungua KILA siku,kumkuta kijana anashabikia ccm bila kuwa na maslai nao ni ngumu.
4.Watz wameona madhara ya ukosefu wa upinzani bungeni kupitia tozo,nk
5.ccm hawana mtu anaeuzika nchini kwa sasa
6.Tozo, ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira,vitu bei juu watz wanakwenda iadhibu vibaya ccm.
Njia nyeupe ya kuingia bungeni ni kupitia upinzani.
Ccm haina tena uwezo wa kusimama yenyewe bila police.
Wote waliobungeni ni asante magufuli wakiwa ni chaguo la magufuli Ili kumsaidia kubadili katiba atawale milele na sio chaguo la watz na wote Hakuna atakaerudi tena bungeni so wanajua hili thus wameamua bora tukose wote thus wameanza vurugu mapema.
MashetaniKitu ambacho hujui siku zote ccm hulinda maslahi yake kwa kukutaa na kuandaana na kumaliza tofauti zao kisha wakaingia jimboni kama kitu kimoja
USSR
Ccm na demokrasia haihitaji dk 5 itakuwa chali.7.Rais Samia anaonekana ni mwana Demokrasia kuliko mtangulizi wake
Hakuna mtu wa kutunishiana misuli na rais, tanzania bado hatujafikia huko, rais bado ana nguvu Sana akiamua kuwafanyia figisu viti vitakuwa vya motoWapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Samia ni zao la Kikwete na ndio maana unaona anawavumilia hawa vitimbakwiri, angekuwa ni yule chizi mwendakuzimu Polepole na huyu Ndugainsaa hizi wameshafutwa uanachama.7.Rais Samia anaonekana ni mwana Demokrasia kuliko mtangulizi wake
Hakuna mtu wa kutunishiana misuli na rais, tanzania bado hatujafikia huko, rais bado ana nguvu Sana akiamua kuwafanyia figisu viti vitakuwa vya moto
Wewe huwajui wabongo,, hasa walioko madarakani , wakishagundua huna lengo la kuwatoa wanakua very loyal,, na wanafanya kazi bila stress,, hawawezi kamwe kukusaliti, simply because, hawajui zimwi lisilokujua litakuja na agenda zipi,, wanakuwa na hofu, pengine akaja mtu wa tumbua tumbua, au mtu wa kusweka watu kwenye mifuko ya sulphate, etc...Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Hivi huionagi amsha amsha ya ccm kwenye chaguzi, au umesahau?Ccm na demokrasia haihitaji dk 5 itakuwa chali.
Kosa la ccm ni kuwekeza kwenye dola badala ya kuwekeza kwa watz.