Huna hoja wewe fala, umejaa CHUKI kwa Rais tangia kifo cha MAGUFULI, Kwani umeambiwa Samia ni MUNGU? We kila Thread inayowekwa, unamsema SAMIA hata kwa kitu asichohusika nacho, mara ZANZIBAR mara hiki. ACHA UDINI BOYA WEWE. KUKAA NYUMA YA KEYBOARD KUNAKUDANGANYA SIO??Sasa unashindwa kutoa hoja unaleta vihoja, kwani wanawake Sio binadamu? Jadili hoja maana unajidhalilisha tu
Ungeanza kwa kutuambia "someni assumptions zangu" tungekuelewa sana.Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Hakuna lolote hapo, bungeni kuna mazuzu na umeona Spika akilamba matapishi yake.Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Baada ya yote, nani kaonekana mpuuzi sasa?Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Haya ndugai kachutama leo,nani mpuuzi,unatakackushindanisha mzoga wa jpm na watoto wa mjiniWapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Dkt Ndugae ni nani?Kwa nini sasa Dkt.Ndugae anadharaliwa sana?
Aliyeomba msamaha leo! 😳Dkt Ndugae ni nani?
Ndugai anautaka Urais wa Tanzania kwa turufu ya kutokukopa kopa ili nchi isipigwe mnada,akiupata tutabananishwa na tozo bila kikomo.Baada ya bunge la muhula huu, Ndugai alishasema anaachana na siasa...
Sioni haswa sababu ya Job kuanza kuleta fujo isiyo na maslahi yoyote kwake...

Huyo huyo JPM ndio aliyemwambia Mabeyo ahakikishe Samia anapewa nchi akiwa anaumwa kitandani.Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado ni wa JPM. Hao ndiyo wavujisha siri zote kuelekea mjengoni.
...75% ya wabunge wa sasa ni zao na takwa la JPM.Ki vyovyote vile wanatambua uchaguzi ujao hawatakuwa chaguo la waliopo sasa kwa hiyo wataamua liwalo na liwe.
...Spika na Naibu wake ni takwa la JPM. Patamu hapo!
...PM.
Unajua nini,hii ngoma ni mbichi mno na ni vigumu sana kumtabiri mshindi.Binafsi naacha muda uongee.
NB: 2022 - 2025 lazima shoka liungue mpini ubaki!
Ni mtu amejifunza kumgeuzia shingo anayeongea naye, kajifunza hii tabia kutoka kwa JK. Ni msikivu kwenye maongezi hivyo anajifunza mengi.7.Rais Samia anaonekana ni mwana Demokrasia kuliko mtangulizi wake
Let's assume the following kwenye uchaguzi: 1. mapolisili wote wapigwe stop kujihusisha kwenye kampeni na chaguzi 2. Tume ya uchaguzi itoke ZAMBIA au SOUTH AFRICA 3. RC, DED, DC, DAS etc wakae pembeni kabisa kama waangaliaji wengine 4. Vituo vya upigaji Kura waandishi wawepo, waangalizi na matukio yarushwe live kwenye media kwa kila kituo 5. Uhesabuji wa kura kwenye Vituo ufanyike live kama ilivyokuwa kwenye kura za maoni za Chama fulani... 6. Kila mpiga kura abakie na kibutu cha kura aliyopiga ikionyesha alimpigia nani ili ikitokea lolote huko mbele mpiga kura aweze Kuja kuthibitisha kura yake alimpigia nani.Hivi huionagi amsha amsha ya ccm kwenye chaguzi, au umesahau?
Vitisho vya nini, hamna hoja hapa.wewe ndio uwe makini.Huna hoja wewe fala, umejaa CHUKI kwa Rais tangia kifo cha MAGUFULI, Kwani umeambiwa Samia ni MUNGU? We kila Thread inayowekwa, unamsema SAMIA hata kwa kitu asichohusika nacho, mara ZANZIBAR mara hiki. ACHA UDINI BOYA WEWE. KUKAA NYUMA YA KEYBOARD KUNAKUDANGANYA SIO??
Haitokaa ijirudie MAGUFULI kuwa Rais au MSUKUMA awe Rais maana huna akili kichwani. Kama una hoja za msingi kagombee URAIS sio kejeli za kike muda wote mbwa wewe.
KUWA MAKINI.
Bado kitambo kidogo hapatatoshaHuyo huyo JPM ndio aliyemwambia Mabeyo ahakikishe Samia anapewa nchi akiwa anaumwa kitandani.
Naona mmeumia sana Ndugai alipoyarudia yale maneno maarufu ya kanisani 'Nimekosa sana, Nimekosa sana, Nimekosa mimi'.