Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magonjwa yanayoletwa na shetani/mapepo unafikiri yanatoka kwa kupata nutrients.Kwaba chanzo cha magonjwa hakina uhusiano wowote na mwisho wa magonjwa hayo (Kupona) ? Yaani mfano lack of nutrient fulani haina uhusiano na wewe kupata nutrient hio katika uponaji wako ?
I understand that you may have your own perspective, but attributing my testimony to 'hallucinations' is dismissive. My healing is a testimony to the power of faith in Jesus Christ, and it is something I have personally experienced and can confidently share. I encourage you to approach such matters with an open mind for others’ beliefs and experiences.Kabisa huyu mleta mada ana fungus kwenye ubongo.
Anapata hallucinations.
To name just a few....; Baada ya kuona hapo utagundua kwamba hakuna cha mapepo wala nini pengine ni uamuzi wako tu wa lishe..., Au kama unaamua kuachia mazalia ya mbu kwako basi usishangae malaria akiwa mgeni wako....Magonjwa yanayoletwa na shetani/mapepo unafikiri yanatoka kwa kupata nutrients.
| disease (and key nutrient involved) | symptoms | foods rich in key nutrient |
|---|---|---|
| Source: Gordon M. Wardlaw, Perspectives in Nutrition (1999). | ||
| xerophthalmia (vitamin A) | blindness from chronic eye infections, poor growth, dryness and keratinization of epithelial tissues | liver, fortified milk, sweet potatoes, spinach, greens, carrots, cantaloupe, apricots |
| rickets (vitamin D) | weakened bones, bowed legs, other bone deformities | fortified milk, fish oils, sun exposure |
| beriberi (thiamin) | nerve degeneration, altered muscle coordination, cardiovascular problems | pork, whole and enriched grains, dried beans, sunflower seeds |
| pellagra (niacin) | diarrhea, skin inflammation, dementia | mushrooms, bran, tuna, chicken, beef, peanuts, whole and enriched grains |
| scurvy (vitamin C) | delayed wound healing, internal bleeding, abnormal formation of bones and teeth | citrus fruits, strawberries, broccoli |
| iron-deficiency anemia (iron) | decreased work output, reduced growth, increased health risk in pregnancy | meat, spinach, seafood, broccoli, peas, bran, whole-grain and enriched breads |
| goitre (iodine) | enlarged thyroid gland, poor growth in infancy and childhood, possible mental retardation, cretinism | iodized salt, saltwater fish |
Sio kwamba hawafahamu YESU anaponya, utata upo kwenye hayo magonjwa 100 katika nyama za mtu mmoja mkuu.Amen, yote ni kwa utukufu wa Mungu. Nisingeugua, watu wangejuaje humu kwamba Jina la Yesu linaponya?
Mkuu sio kwamba tunabisha tu ni kweli kwamba hayupo , akithibitika hakuna mtu anaweza kuhoji uwepo wake , hizo ni imani tu na zipo imani za uwepo wa Mungu zaidi ya 1000 na kila mmoja anadai Mungu wake ni sahihi zaidi ya mwingine, jinsi miaka inakwenda watu wanazidi kupata mashaka ya hizo imani zilizojengwa akilini kwa watu na vitisho na ahadi .Hakuna kitu kibaya kama kiburi cha uzima,it's as if hakuna Mungu,cha ajabu mtu huyo huyo anayebisha hapa kila Jumapili yuko kwenye ibada......
Hakika NAMI nimeshuhudia kwangu Mimi mwenyewe.Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa. Katika maisha yangu nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya aina mbalimbali. Kifuani, tumboni, miguuni, katika vidole, machoni, masikioni, puani, kichwani, nk, nk. Muda hautoshi kuyaeleza kwa kina. Kwa haraka haraka naweza kusema tangu ujana wangu nimeugua zaidi ya magonjwa 100. Namshukuru Mungu kwakuwa amekuwa akiniponya magonjwa kila yanaponiijia. Ninachokifanya, kila nikiumwa, namuomba Mungu aniponye kwa Jina la Yesu, kisha naweka mkono wangu juu ya sehemu inayoumwa na kuuamuru ugonjwa utoke kwa Jina la Yesu; kisha naamini kwamba imekuwa hivyo. Wakati mwingine inachukua muda kuona matokeo lakini wakati mwingine ugonjwa unatoweka saa hiyo hiyo. Maneno aliyosema Yesu ni kweli kabisa. Katika Mk 16:17-18 anasema: “Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu(Yesu) watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.”
Huu ni uthibitisho kuwa Mungu yupo na anatenda miujiza hata leo kwa watu wanaomuamini. Kwa ushuhuda huu sikuambii usiende hospitali. La, hasha! Ukiwa na pesa, nenda. Nenda hata hospitali za nje ya nchi. Hata mimi kuna wakati huwa naenda hospitali kwa kuwa najua kwamba Mungu anaweza pia kuponya kwa kuwatumia madaktari. Hata hivyo ninapoenda hospitali bado naweka matumaini yangu kwa Mungu kwakuwa najua madaktari nao kuna magonjwa yako juu ya uwezo wao au elimu yao; na wakati mwingine nadhani huwa wanajisahau, badala ya kutia moyo wanakatisha tamaa. Kuna siku nilipungukiwa damu, nikaenda kumuona Daktari. Aliponipima na kuhakikisha damu imepungua, akaniuliza: “Damu umepeleka wapi wewe?” Usipokuwa na matumaini kwa Mungu ukiulizwa swali hilo la kuvunja moyo unaweza ukaugua mara mbili zaidi. Na kwa magonjwa niliyougua, kama kila ugonjwa ningekuwa nakimbilia hospitali, ningehitajika kuwa milionea maana ningepaswa kulipa pesa nyingi za matibabu. Namshukuru Yesu anaponya bila kulipa hata senti. Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Wanakosa baraka hizi za uzima.
Hata hivyo kuna vigezo na masharti ya kuzingatia ili mtu aone kikamilifu uponyaji wa Mungu kwa Jina la Yesu. Baadhi ya vigezo vimeelezwa katika Andiko hili: Kutoka 15:26. “Mungu akasema, ‘Kama mtaisikiliza kwa bidii sauti yangu mimi BWANA Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa mbele yangu, kama mtayatii maagizo yangu na kuzishika amri zangu zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi BWANA, niwaponyaye.’” Uponyaji wa Mungu ni wa bure kwa wote wanaozingatia maneno hayo. Ukisikia Mtumishi anakuambia ulipe pesa kwanza ndio akuombee, jihadhari naye. Yesu alipowapa mamlaka wanafunzi wake ya kukemea pepo na kuweka mikono juu ya wagonjwa ili wapone, aliwaambia amewapa bure, hivyo wanapaswa kutoa huduma hiyo bure(Mathayo 10:8).
Yamkini unaumwa, umetibiwa kila mahali hujapona. Usikate tamaa. Ushuhuda huu ukutie moyo kuwa unaweza kupona kwa uwezo wa Jina la Yesu Kristo. Yote yawezekana kwake aaminiye(Mk 9:23). Amen.
Asante doktaUnashangaa kusikia mtu anaumwa magonjwa 100 kwenye viungo mbalimbali vya mwili, wakati macho peke yake yana mamia ya magonjwa:
- Acute Angle-Closure Glaucoma
- Amblyopia
- Anterior Uveitis
- Astigmatism
- Blepharitis
- Cataract
- Chalazion
- Conjunctivitis
- Corneal Abrasion
- Corneal Dystrophy
- Diabetic Retinopathy
- Dry Eye Syndrome
- Ectropion
- Endophthalmitis
- Entropion
- Fuchs' Dystrophy
- Glaucoma
- Herpes Simplex Keratitis
- Hypertensive Retinopathy
- Hyphema
- Keratoconus
- Keratitis
- Lazy Eye
- Macular Degeneration
- Macular Edema
- Neovascular Glaucoma
- Ocular Melanoma
- Ocular Migraine
- Ocular Histoplasmosis Syndrome
- Orbital Cellulitis
- Optic Neuritis
- Papilledema
- Pinguecula
- Pterygium
- Presbyopia
- Retinal Detachment
- Retinal Vein Occlusion
- Retinitis Pigmentosa
- Sjögren’s Syndrome
- Strabismus
- Subconjunctival Hemorrhage
- Toxoplasmosis
- Trachoma
- Uveitis
- Vitreous Hemorrhage
- Wet Macular Degeneration
- Xanthelasma
- Herpes Zoster Ophthalmicus
- Asthenopia
- Blepharospasm
- Bacterial Conjunctivitis
- Choroiditis
- Color Blindness
- Conjunctival Nevus
- Corneal Infection
- Corneal Ulcer
- Cystoid Macular Edema
- Diabetic Macular Edema
- Foveal Dystrophy
- Glaucomatous Optic Neuropathy
- Hereditary Retinopathy
- Hypertensive Retinal Changes
- Iridocyclitis
- Iridocorneal Endothelial Syndrome
- Leber's Hereditary Optic Neuropathy
- Macular Hole
- Macular Pucker
- Morning Glory Syndrome
- Myopia
- Nystagmus
- Ocular Toxocariasis
- Ocular Cicatricial Pemphigoid
- Optic Atrophy
- Orbital Fracture
- Papillitis
- Retinal Artery Occlusion
- Retinal Vein Occlusion
- Retinopathy of Prematurity
- Scotoma
- Scleritis
- Secondary Glaucoma
- Sensory Nystagmus
- Simple Stye
- Snowflake Cataract
- Stargardt Disease
- Stevens-Johnson Syndrome
- Subretinal Hemorrhage
- Sympathetic Ophthalmia
- Synechiae
- Thyroid Eye Disease
- Transient Visual Obscurations
- Traumatic Brain Injury-Related Vision Problems
- Uveal Melanoma
- Vitritis
- Vitamin A Deficiency
- Visual Snow Syndrome
- Vitreoretinal Traction
- Wolfram Syndrome
- Xerophthalmia
- YAG Laser Capsulotomy Complications
Ni ajabu sana unashangaa kusikia magonjwa 100. Ukiorodheshewa magonjwa 55,000 yanayowashambulia wanadamu si ndio utakimbia kabisa JF. Hebu shangaa zaidi majina haya ya magonjwa ya macho peke yake:Umepona zaidi ya mara 100, siyo magonjwa mia
Kwa sasa siumwi mkuu. ila magonjwa 100 acha uongo asee tubu yesu anarudiUsipende sana sukari, mkuu, utaugua magonjwa mabaya; na kwa kuwa huamini nguvu ya Jina la Yesu sijui utaponaje!
Kwamba umeponywa hautaumwa tena? Vipi wanaopana bila hata kuamini hayo mambo ya Mungu?Amen ndugu Tuko wengi tumeponywa kwa Jina hili kuu la Yesu. YAANI WATU WANGEJUA WANGEMKIMBILIA KWAKE WAPATE MSAMAHA WA DHAMI ZAO NA KUPONYWA BURE. (Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. "Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi." (MATHAYO 11:28-30)