Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

List ya magonjwa 100 ikishawekwa naomba unijulishe nije kushuhudia kwa macho yangu
Unashangaa kusikia mtu anaumwa magonjwa 100 kwenye viungo mbalimbali vya mwili, wakati macho peke yake yana mamia ya magonjwa:
  • Acute Angle-Closure Glaucoma
  • Amblyopia
  • Anterior Uveitis
  • Astigmatism
  • Blepharitis
  • Cataract
  • Chalazion
  • Conjunctivitis
  • Corneal Abrasion
  • Corneal Dystrophy
  • Diabetic Retinopathy
  • Dry Eye Syndrome
  • Ectropion
  • Endophthalmitis
  • Entropion
  • Fuchs' Dystrophy
  • Glaucoma
  • Herpes Simplex Keratitis
  • Hypertensive Retinopathy
  • Hyphema
  • Keratoconus
  • Keratitis
  • Lazy Eye
  • Macular Degeneration
  • Macular Edema
  • Neovascular Glaucoma
  • Ocular Melanoma
  • Ocular Migraine
  • Ocular Histoplasmosis Syndrome
  • Orbital Cellulitis
  • Optic Neuritis
  • Papilledema
  • Pinguecula
  • Pterygium
  • Presbyopia
  • Retinal Detachment
  • Retinal Vein Occlusion
  • Retinitis Pigmentosa
  • Sjögren’s Syndrome
  • Strabismus
  • Subconjunctival Hemorrhage
  • Toxoplasmosis
  • Trachoma
  • Uveitis
  • Vitreous Hemorrhage
  • Wet Macular Degeneration
  • Xanthelasma
  • Herpes Zoster Ophthalmicus
  • Asthenopia
  • Blepharospasm
  • Bacterial Conjunctivitis
  • Choroiditis
  • Color Blindness
  • Conjunctival Nevus
  • Corneal Infection
  • Corneal Ulcer
  • Cystoid Macular Edema
  • Diabetic Macular Edema
  • Foveal Dystrophy
  • Glaucomatous Optic Neuropathy
  • Hereditary Retinopathy
  • Hypertensive Retinal Changes
  • Iridocyclitis
  • Iridocorneal Endothelial Syndrome
  • Leber's Hereditary Optic Neuropathy
  • Macular Hole
  • Macular Pucker
  • Morning Glory Syndrome
  • Myopia
  • Nystagmus
  • Ocular Toxocariasis
  • Ocular Cicatricial Pemphigoid
  • Optic Atrophy
  • Orbital Fracture
  • Papillitis
  • Retinal Artery Occlusion
  • Retinal Vein Occlusion
  • Retinopathy of Prematurity
  • Scotoma
  • Scleritis
  • Secondary Glaucoma
  • Sensory Nystagmus
  • Simple Stye
  • Snowflake Cataract
  • Stargardt Disease
  • Stevens-Johnson Syndrome
  • Subretinal Hemorrhage
  • Sympathetic Ophthalmia
  • Synechiae
  • Thyroid Eye Disease
  • Transient Visual Obscurations
  • Traumatic Brain Injury-Related Vision Problems
  • Uveal Melanoma
  • Vitritis
  • Vitamin A Deficiency
  • Visual Snow Syndrome
  • Vitreoretinal Traction
  • Wolfram Syndrome
  • Xerophthalmia
  • YAG Laser Capsulotomy Complications
 
Aliyesababisha upate hayo magonjwa yote ni nani ? Kama akupae wewe ndio aliyoninyima mimi huoni hapo kuna upendeleo...

Na kama kila mtu anavuna alichopanda huoni kwamba kupata kwako hayo magonjwa au kupona kwako vyote vina action fulani ambayo ilitoa equal and opposite reaction ?

Anyway Imani ni confidence booster ndio maana hata huwa kuna kitu kinaitwa Placebo Effect...
 
Pole sana mkuu!
Hivi kwa idadi ya magonjwa yanaweza kufika 100?
@Madaktari
Dah, kuna zaidi ya magonjwa 55,000 duniani. Haya hapa ni magonjwa(medical names) ya macho tu

Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa. Katika maisha yangu nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya aina mbalimbali. Kifuani, tumboni, miguuni, katika vidole, machoni, masikioni, puani, kichwani, nk, nk. Muda hautoshi kuyaeleza kwa kina. Kwa haraka haraka naweza kusema tangu ujana wangu nimeugua zaidi ya magonjwa 100. Namshukuru Mungu kwakuwa amekuwa akiniponya magonjwa kila yanaponiijia. Ninachokifanya, kila nikiumwa, namuomba Mungu aniponye kwa Jina la Yesu, kisha naweka mkono wangu juu ya sehemu inayoumwa na kuuamuru ugonjwa utoke kwa Jina la Yesu; kisha naamini kwamba imekuwa hivyo. Wakati mwingine inachukua muda kuona matokeo lakini wakati mwingine ugonjwa unatoweka saa hiyo hiyo. Maneno aliyosema Yesu ni kweli kabisa. Katika Mk 16:17-18 anasema: “Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu(Yesu) watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.”

Huu ni uthibitisho kuwa Mungu yupo na anatenda miujiza hata leo kwa watu wanaomuamini. Kwa ushuhuda huu sikuambii usiende hospitali. La, hasha! Ukiwa na pesa, nenda. Nenda hata hospitali za nje ya nchi. Hata mimi kuna wakati huwa naenda hospitali kwa kuwa najua kwamba Mungu anaweza pia kuponya kwa kuwatumia madaktari. Hata hivyo ninapoenda hospitali bado naweka matumaini yangu kwa Mungu kwakuwa najua madaktari nao kuna magonjwa yako juu ya uwezo wao au elimu yao; na wakati mwingine nadhani huwa wanajisahau, badala ya kutia moyo wanakatisha tamaa. Kuna siku nilipungukiwa damu, nikaenda kumuona Daktari. Aliponipima na kuhakikisha damu imepungua, akaniuliza: “Damu umepeleka wapi wewe?” Usipokuwa na matumaini kwa Mungu ukiulizwa swali hilo la kuvunja moyo unaweza ukaugua mara mbili zaidi. Na kwa magonjwa niliyougua, kama kila ugonjwa ningekuwa nakimbilia hospitali, ningehitajika kuwa milionea maana ningepaswa kulipa pesa nyingi za matibabu. Namshukuru Yesu anaponya bila kulipa hata senti. Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Wanakosa baraka hizi za uzima.

Hata hivyo kuna vigezo na masharti ya kuzingatia ili mtu aone kikamilifu uponyaji wa Mungu kwa Jina la Yesu. Baadhi ya vigezo vimeelezwa katika Andiko hili: Kutoka 15:26. “Mungu akasema, ‘Kama mtaisikiliza kwa bidii sauti yangu mimi BWANA Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa mbele yangu, kama mtayatii maagizo yangu na kuzishika amri zangu zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi BWANA, niwaponyaye.’” Uponyaji wa Mungu ni wa bure kwa wote wanaozingatia maneno hayo. Ukisikia Mtumishi anakuambia ulipe pesa kwanza ndio akuombee, jihadhari naye. Yesu alipowapa mamlaka wanafunzi wake ya kukemea pepo na kuweka mikono juu ya wagonjwa ili wapone, aliwaambia amewapa bure, hivyo wanapaswa kutoa huduma hiyo bure(Mathayo 10:8).

Yamkini unaumwa, umetibiwa kila mahali hujapona. Usikate tamaa. Ushuhuda huu ukutie moyo kuwa unaweza kupona kwa uwezo wa Jina la Yesu Kristo. Yote yawezekana kwake aaminiye(Mk 9:23). Amen.
Hebu tutajie hayo magonjwa 100 na ututumie vipimo vyako pls
 
Hallelujah
 
Hakijaeleweka tu?
Bado. Hujaoroshesha magonjwa uliyokuwa unaumwa. Umesema umemjibu mshama lkn hamna kitu zaidi ya siasa.
Niambie ni post namba ngapi umeelezea hayo magonjwa uliyoponywa na Yesu.
 
Aliyesababisha upate hayo magonjwa yote ni nani ? Kama akupae wewe ndio aliyoninyima mimi huoni hapo kuna upendeleo...

Na kama kila mtu anavuna alichopanda huoni kwamba kupata kwako hayo magonjwa au kupona kwako vyote vina action fulani ambayo ilitoa equal and opposite reaction ?

Anyway Imani ni confidence booster ndio maana hata huwa kuna kitu kinaitwa Placebo Effect...
Kumbe hujui chanzo cha magonjwa? Labda hiyo iwe mada ya uzi mwingine
 
Kumbe hujui chanzo cha magonjwa? Labda hiyo iwe mada ya uzi mwingine
Kwamba chanzo cha magonjwa hakina uhusiano wowote na mwisho wa magonjwa hayo (Kupona) ? Yaani mfano lack of nutrient fulani haina uhusiano na wewe kupata nutrient hio katika uponaji wako ?
 
Back
Top Bottom