Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
List ya magonjwa 100 ikishawekwa naomba unijulishe nije kushuhudia kwa macho yanguNipo hapa kusubiri list ya magonjwa 100
This is how African youth solve their problems. Hapa hata ukiwa na magonjwa 100+ kama mleta mada ni lazima utapona tu 🙏🏿
View attachment 3195673
Kwahiyo unataka Mungu aje awaletee chakula, sio? 😅😅Huyo Mungu mwenye nguvu mbona ameshindwa na anashindwa kuwasaidia maelfu ya wanawake na watoto wanaoteseka na kufa kwa njaa, vita, magonjwa, majanga ya asili na shida mbalimbali duniani?
Unafikiri TANESCO itakosekana kwenye hiyo list kweli? 😁List ya magonjwa 100 ikishawekwa naomba unijulishe nije kushuhudia kwa macho yangu
Ooh ok ok basi sawa🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿shshsh kanisani hatuulizi maswali...
😆😆Unafikiri TANESCO itakosekana kwenye hiyo list kweli? 😁
Usijali mkuu. Nipo hapa hadi kielewekeList ya magonjwa 100 ikishawekwa naomba unijulishe nije kushuhudia kwa macho yangu
Kwanza huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Kwahiyo unataka Mungu aje awaletee chakula, sio? 😅😅
100 ni tone, mkuu. The International Classification of Diseases (ICD) by the World Health Organization (WHO) is a system that categorizes diseases and health conditions. The latest version, ICD-11, lists over 55,000 unique codes for diseases, disorders, and injuries!!Pole sana mkuu!
Hivi kwa idadi ya magonjwa yanaweza kufika 100?
@Madaktari
Sorry to say lakini hiki kimalkia ni kama cha Kiranga au Nyani Ngabu. Ngoja nivute popcorn niendelee kufurahia huu mtanange wa ma-Shakespeare wetu...Ah, I see you're unleashing quite the tapestry of whimsical observations. Allow me to reciprocate in kind: Your penchant for theatrical declarations could rival the most eccentric of dramatists, but alas, it appears that your rhetorical compass has wandered far afield. Perhaps a recalibration of your logic processor is in order, lest you remain adrift in this sea of imaginative conjecture.
Chai ipo ya kutosha?Mwenye maandazi au vitumbua aje..