Amini, usiamini. Ukitaka kuwa tajiri miaka 10 ijayo, fanya hili. Usidhani ni mbali sana, Utanikumbuka

Amini, usiamini. Ukitaka kuwa tajiri miaka 10 ijayo, fanya hili. Usidhani ni mbali sana, Utanikumbuka

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano:
1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee Pangani, itakuwa shortcut kwenda Tanga hivyo magari mengi yatapita. Mbele yake kuna kiwanda cha SUKARI CHA BAKHRESA.

2. Eneo lolote inapoishia lami au miundombinu yake kutokamilka kwa sasa ila watu wanaongezeka. Chukua sasa lami ikijengwa bei juu.

HIYO NI MIFANO MICHACHE. KUMBUKA ARDHI INAPANDA THAMANI KWA KASI, NI UWEKEZAJI MZURI USIO NA HASARA. KUMBUKA TU KURASIMISHA ENEO LAKO MARA UNUNUAPO, NA KABLA YA KUNUNUA KUWA MAKINI NA MATAPELI.
 
Siku nikipata mpunga wakueleweka nitafanya hivyo.
 
Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano:
1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee
Nani amekuambia kila mtu anahitaji kuwa tajiri? Ponda mali kufa kwaja! Sina shida na huo utajiri
 
Screenshot_20221108-105509.png
NB: sina maslahi na tangazo hili. Ila nimejazia nyama tu
 
Nani amekuambia kila mtu anahitaji kuwa tajiri? Ponda mali kufa kwaja! Sina shida na huo utajiri
Mkeo akiliwa tunda na matajiri usitoke povu.
Kama ww hupendi utajiri ndani ya familia yako kuna mkeo na watoto wanapenda uwe tajiri,kaza mattyakko sio kirahisi tu unasema ww hupendi kuwa tajiri..!!
 
We weka Tangazo lako la kuuza viwanja...Watanzania ukiwaambia hapa patakuwa Kuja kuwa dili utawakamata kama kumbikumbi...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hao Q&R ni wa kweli kabisa. Mimi nimeenda site na nimenunua eneo pia.
Huyo mtoa tangazo wala hajakosea kitu chochote na sidhani kama ana maslahi binafsi.
 
nilishawai kueleza kuhusu ardhi na faida ila kwa vile umuhimu haupo kwa sasa wasiotaka kujua.

jiulizeni kwa nini matajiri ndio wanaongoza kuwa kwenye maeneo mazuri na yenye fursa. sababu waliona mbali mpaka kwa vizazi vyao.
 
Hao Q&R ni wa kweli kabisa. Mimi nimeenda site na nimenunua eneo pia.
Huyo mtoa tangazo wala hajakosea kitu chochote na sidhani kama ana maslahi binafsi.
Bado vipo? na Bei bado ni hiyo hiyo au ilikuwa ni kwa mnada tu?
 
Back
Top Bottom