Amini, usiamini. Ukitaka kuwa tajiri miaka 10 ijayo, fanya hili. Usidhani ni mbali sana, Utanikumbuka

Amini, usiamini. Ukitaka kuwa tajiri miaka 10 ijayo, fanya hili. Usidhani ni mbali sana, Utanikumbuka

Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano:
1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa kiwango cha lami itokezee Pangani, itakuwa shortcut kwenda Tanga hivyo magari mengi yatapita. Mbele yake kuna kiwanda cha SUKARI CHA BAKHRESA.

2. Eneo lolote inapoishia lami au miundombinu yake kutokamilka kwa sasa ila watu wanaongezeka. Chukua sasa lami ikijengwa bei juu.

HIYO NI MIFANO MICHACHE. KUMBUKA ARDHI INAPANDA THAMANI KWA KASI, NI UWEKEZAJI MZURI USIO NA HASARA. KUMBUKA TU KURASIMISHA ENEO LAKO MARA UNUNUAPO, NA KABLA YA KUNUNUA KUWA MAKINI NA MATAPELI.
Sahihi
 
Hiyo ni betting. Ingiza hela kwenye mzunguko. Unazika hela kusubiria miaka 10?
 
Back
Top Bottom