musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Wajinga ndio waliwao😅😅😅Wasalaam
Maisha ya mwanadamu yamejaa tabu...ni lazima upambane,muujiza wa wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia
Matatizo yanayokusonga yataisha tuu...ama kwa wewe kufa...ama muda utayatatua...ama atayatatua mwingine...ama wewe mwenyewe utayatatua ukizingatia kwa dhati kufanya hivyo
Mwamposa siyo nabii ni mtume.Wasalaam
Maisha ya mwanadamu yamejaa tabu...ni lazima upambane,muujiza wa wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia
Matatizo yanayokusonga yataisha tuu...ama kwa wewe kufa...ama muda utayatatua...ama atayatatua mwingine...ama wewe mwenyewe utayatatua ukizingatia kwa dhati kufanya hivyo
Umughaka wa mughaka, mambo vipi rafiki..?😂HAO MATAPELI NGOJA WAENDELEE KUUMIZA NG'OMBE ZISIZOSIKIA
HAO MATAPELI NGOJA WAENDELEE KUUMIZA NG'OMBE ZISIZOSIKIA
Je, yupo sawa na yesu na mohd kwa cheo ama?Mwamposa siyo nabii ni mtume.
Kuna jamaa yangu yeye alikuwa anapenda kuangalia mapaja ya Kajala tu mule. Full kumsifia😄The late kanumba aliwafungulia watu code kwenye muvi yake aloigiza na ramsey noah- the devil kingdom, lakini ni kama watu hawakuelewa ujumbe alioutoa mshikaj kwa watu..!
Yesu ni Mungu. Hawezi kuwa sawa na hao wote uliowataja.Je, yupo sawa na yesu na mohd kwa cheo ama?
Manabii wa kweli kwa nyakati hizi ni wakina nani au hamna kabisa?Wasalaam
Maisha ya mwanadamu yamejaa tabu...ni lazima upambane,muujiza wa wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia
Matatizo yanayokusonga yataisha tuu...ama kwa wewe kufa...ama muda utayatatua...ama atayatatua mwingine...ama wewe mwenyewe utayatatua ukizingatia kwa dhati kufanya hivyo
WomenHalafu waumin wao asilimia kubwa ni wanawake.
Womens, what's wrong with you..?
Ok nimekupata mkuu, na mie nikuulize, Nini maana ya mtume???Yesu ni Mungu. Hawezi kuwa sawa na hao wote uliowataja.