musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
- Thread starter
- #41
Unatafuta unabii wa nini kizazi hiki mambo yote yako waziManabii wa kweli kwa nyakati hizi ni wakina nani au hamna kabisa?
Unatafuta unabii wa nini kizazi hiki mambo yote yako waziManabii wa kweli kwa nyakati hizi ni wakina nani au hamna kabisa?
Kabisa utasikia roho ya uvivu...roho ya umasikini...yaani hatutaki kuwajibika wala kuwajibikia makosa yetu tunadai sio sisi ni roho🤣Watanzania tunapenda miujiza tunaamin vitu ambavyo havipo hakuna kitu kama hicho tufanye kaz Kwa bidii hujarogwa na mtu yoyote uvivu wa kujituma tu
Tumejawa na upuuzKabisa utasikia roho ya uvivu...roho ya umasikini...yaani hatutaki kuwajibika wala kuwajibikia makosa yetu tunadai sio sisi ni roho🤣
Ndio hao wanaonanili huku wakishikiwa bastola kichwani. Hawa mitume na manabii wa uongo watakokota wengi kuzimuHalafu waumin wao asilimia kubwa ni wanawake.
Womens, what's wrong with you..?
Manabii wa kweli ni Yohana mbatizaji...Elia...Isaya...Ezekieli...Yeremia...hawa walitabiri mambo miaka mia sita nyuma yakatokea...hawa hawakuabudiwa ...hawa walisema kweli tupu na waliteseka kwa ajili ya kweli yenyewe...hawa waliishi kwa kumtegemea Mungu sio kwa utajiri wa kupita kiasi na kuchukua vitu vya watu...na aliekamilisha unabii alikua Yesu Kristo...sasa unatafuta unabii wa nini tena sijui utafsiriwe ndoto...endeleeni kuliwa mpaka muisheAkikutajia hata mmoja tu, yani mmoja tu, ntakutumia 10,000 ya Vocha Mkuu..!!!
Waache kenge hasikii mpaka masikio yatoe damuMimi Kuna jamaa zangu wanaenda Kwa mwamposa kwa madai kuwa amewaponesha mambo mengi lakini ukitaka kuwaelewesha kuwa huo ni uhuni kama uhuni mwingine hawakuelewi kabisa.Kigezo Chao kikubwa wanadai kuwa Hadi viongozi wakubwa wa serikali wanaenda kuombewa Mfano chalamila,makonda,mawaziri na baadhi ya wabunge.Imebidi ni nyamaze tu niwe nawakubalia kuwa waende kadri wanavyoweza.
Nisamehe mkuu...kwenye biblia wameitwa manabii wa uongo...uongo ni sifa mbaya sanaNani kakupa ruhusa ya kuwaita manabii au mitume ....wahuni wait we kwa majina ya uhuni wao
Na wananunua kweliKuna mchungaji Nigeria anauza KADI za kwenda mbinguni
Nabii wa ukweli ni Yesu na Muhammad.Sawa tumekusikia:
Tutajie sasa Manabii wa Ukweli ili tuwaamini:
Msikilize mwalimu anaitwa Christopher MwakasegeAkikutajia hata mmoja tu, yani mmoja tu, ntakutumia 10,000 ya Vocha Mkuu..!!!
Sawa kabisaHAO MATAPELI NGOJA WAENDELEE KUUMIZA NG'OMBE ZISIZOSIKIA
Mwalimu wa nn???Msikilize mwalimu anaitwa Christopher Mwakasege
Mwakasege ni Mwalimu kama ulivyosema...! He is not a Pastor, Wala Mwijilisti, sio prophet Wala Apostle wala Mwijilisti.Msikilize mwalimu anaitwa Christopher Mwakasege
Yule jamaa ukimsikiliza ana madini tatizo hatoi miujiza kama kina Mwamposa👿Mwakasege ni Mwalimu kama ulivyosema...! He is not a Pastor, Wala Mwijilisti, sio prophet Wala Apostle wala Mwijilisti.
Elimu Ya Musa Mwacha sio zaidi ya Sunday School mengine ni kukariri vifungu na kudai Huwa anaongea na Yesu.Ijumaa hii hamuendi ngomeni kwa kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha.....
Kuna asali toka mwambani
Na watu wananunua kadi kweli??!!Kuna mchungaji Nigeria anauza KADI za kwenda mbinguni