Amka!! Mwamposa, Suguye, Lusekelo, Kuhani Mussa na wenzao ni manabii wa uongo

Amka!! Mwamposa, Suguye, Lusekelo, Kuhani Mussa na wenzao ni manabii wa uongo

Womens ???????? Kamdomo
Women's ndio majority kwenye hayo makanisa ni Wanawake wanaishia kuingia kwenye kwaya na kuanza kugongwa gongwa ovyo leo kagongwa busisi kesho kagongwa kigoma
 
Mtu anayeona vitu,mali au pesa zake zikitwaliwa na halalamiki unaanzaje kumtetea?Mwisho utaambiwa unamuonea wivu tu.
 
Hizo ni nguvu za waganga. Kuna walioenda misitu ya DRC na waganga, wakapiga alleluia ya nguvu mpaka miti nayo ikaitika "aluluuuuuuuuya" mahali popote utakapohubiri watu watajaa. Watu wanapumbazwa akili zao na kukuletea walicho nacho.
hawana uchawi wowote kwa mfano mwamposa kinamjazia watu ni promo jamaa amewekeza kwenye kujitangaza
 
Wasalaam

Maisha ya mwanadamu yamejaa tabu...ni lazima upambane,muujiza wa wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia

Matatizo yanayokusonga yataisha tuu...ama kwa wewe kufa...ama muda utayatatua...ama atayatatua mwingine...ama wewe mwenyewe utayatatua ukizingatia kwa dhati kufanya hivyo
Nani kakupa ruhusa ya kuwaita manabii au mitume ....wahuni waitwe kwa majina ya uhuni wao
 
Back
Top Bottom