Amka!! Mwamposa, Suguye, Lusekelo, Kuhani Mussa na wenzao ni manabii wa uongo

Yule jamaa ukimsikiliza ana madini tatizo hatoi miujiza kama kina Mwamposa👿
Mkuu, Biblia inasema Kuna Karama Tano ama Gift ambazo Roho Mtakatifu Huwa anatoa Kwa Kwa Watu waliochaguliwa (The chosen one).
1. Teacher.
2. Evanjalist.
3. Pastor.
4. Prophet.
5. Apostle.

Katika hizo Gift 5 Apostle ndiyo amebeba hizo Gift zote, means mtu kama Mwamposa ni Apostle, lakini pia anaweza kufundisha, anaweza kufanya Pastoring, anaweza kufanya Prophecy (Japo Huwa hapendi kufanya hivyo Kwa sababu ya kelele za Watu) na kazi ya Kitume ambayo kaibeba.

Mwalimu Mwakasege yeye Karama yake ni kufundisha, ila anaweza pia kufanya Prophecy ilibidi coz Roho wa Mungu anamtumia, ila yeye ni Mwalimu na anafanya kazi nzuri sana.

Kuna Prophets, Hawa ni Seer's na wengi hufanya Miujiza, Uponyaji na Utabiri, Prophets sio Waalimu Wazuri, coz sio Waongeaji wazuri, yeye utamuona Muongeaji mletee Mtu mwenye Mapepo, mletee wagonjwa n.k, ndiyo Mungu kampa Karama hiyo.

Tatizo linakuja Kila Mtu anataka kuwa Prophet, kila mtu anataka kuwa Apostle, wakati yeye ni Mwalimu, Ama ni Mwijilisti.....!
Biblia imesema Nyakati za Mwisho Mungu ataachilia Roho yake Kwa Watu wake, ambapo Vijana wataona Maono, na Wazee wataota Ndoto, huu ndiyo wakati wa Mwisho, lakini watu wa Dini huu Mstari Huwa wanajifanya hawauoni.

Mungu hatoi Gift Kwa vile tu umeokoka, ama Kwa vile tu ni Mkristu ama Kwa vile tu umetaka, Mungu anatoa Gift Kwa Watu aliowaandaa.

The Creator is Coming.
 
Asante ndg kwa maelezo yako mapana!👿 pamoja sana 💪
 
Wasalaam

Maisha ya Mwanadamu yamejaa tabu, ni lazima upambane, muujiza wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia

Matatizo yanayokusonga yataisha tuu ama kwa wewe kufa, ama muda utayatatua, ama atayatatua mwingine, ama wewe mwenyewe utayatatua ukizingatia kwa dhati kufanya hivyo
Nilipata ugonjwa wa macho ,mishipa ya damu inajaa kisha inaburst ni choroid neovascuralization lakini sasa nimepona kwa kugusa screen ya TV ktk kipind Cha mwamposa ,ukiliamini jina la yesu kristo hautakufa bali utakuwa na uzima wa milele
 
Attachments

  • Screenshot_20250419-102927.png
    Screenshot_20250419-102927.png
    378.5 KB · Views: 16
Nilipata ugonjwa wa macho ,mishipa ya damu inajaa kisha inaburst ni choroid neovascuralization lakini sasa nimepona kwa kugusa screen ya TV ktk kipind Cha mwamposa ,ukiliamini jina la yesu kristo hautakufa bali utakuwa na uzima wa milele
Hongera mkuu, uliwai kutibiwa hospital?
 
Wasalaam

Maisha ya Mwanadamu yamejaa tabu, ni lazima upambane, muujiza wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia

Matatizo yanayokusonga yataisha tuu ama kwa wewe kufa, ama muda utayatatua, ama atayatatua mwingine, ama wewe mwenyewe utayatatua ukizingatia kwa dhati kufanya hivyo
Wanawake watakupiga mawe
 
Hao wa ukweli wako wap?. Msiwe kama wajinga hakuna cha mungu wala shetani. Ishini kadrisheria za nchi zinavyosema achananeni na mambo ya kufikirika
 
Back
Top Bottom