Amka!! Mwamposa, Suguye, Lusekelo, Kuhani Mussa na wenzao ni manabii wa uongo

Womens ???????? Kamdomo
Women's ndio majority kwenye hayo makanisa ni Wanawake wanaishia kuingia kwenye kwaya na kuanza kugongwa gongwa ovyo leo kagongwa busisi kesho kagongwa kigoma
 
Mtu anayeona vitu,mali au pesa zake zikitwaliwa na halalamiki unaanzaje kumtetea?Mwisho utaambiwa unamuonea wivu tu.
 
Hizo ni nguvu za waganga. Kuna walioenda misitu ya DRC na waganga, wakapiga alleluia ya nguvu mpaka miti nayo ikaitika "aluluuuuuuuuya" mahali popote utakapohubiri watu watajaa. Watu wanapumbazwa akili zao na kukuletea walicho nacho.
hawana uchawi wowote kwa mfano mwamposa kinamjazia watu ni promo jamaa amewekeza kwenye kujitangaza
 
Nani kakupa ruhusa ya kuwaita manabii au mitume ....wahuni waitwe kwa majina ya uhuni wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…